Unadhani mtaani hakuna wazoefu wa takwimu? Ama unafikiri mtaani hakuna wasomi pia? Ridhika na utumishi wako acha vijana wenye sifa wasio na ajira wapate walau kidogo kitusababu ya pili kuwaengua watumishi na kujaza raia weng wa mtaani ambao hawana uzoefu na takwimu.
Kuwa tu mpole. Hii ndiyo Tanzania.Mchezo mchafu uliofanyika kwenye zoezi la kuwapata makarani na wasimamizi maudhui huenda likaathiri upatikanaji wa taarifa sahihi kutokana na sababu kuu 2. 1-vijana wengi waliopatikana wamepatikana kwa njia isio sahii yaani Rushwa na upendeleo mfano kwenye kata yangu mtendaji wa Kijiji amejaza watu wake anao wajua na ndugu zake ambao hawakutuma hata maombi ya sensa,mwalimu mkuu wa shule jirani na kata husika ameita ndungu zake kutoka mbeya na geita wote hawakutuma maombi ukiangalia orodha ya majina ilyotoka kwenda semina majina yapo 33 Kati ya hao walio fanya usahili na kupita ni 2 tu hao 31 hawajulikani wametokea wapi.2- sababu ya pili kuwaengua watumishi na kujaza raia weng wa mtaani ambao hawana uzoefu na takwimu.
Ndugu mtumishi WA umma,uwe na shukran.Unasema Sensa imeacha watumishi na kujaza vijana WA mtaani ambao hawana uzoefu na takwimu,wewe kuita majina kwenye attendance ya wanafunzi tayari umeshakua mtakwimu? Watumishi asilimia kubwa tuko na roho mbaya.Ridhika na kipande kidogo cha keki ya taifa unayoipata.Acha vijana ambao unasema hawana uzoefu wapate uzoefu na kipande cha keki ya taifa kiwasaidie kununua mahitaji Yao madogomadogo.Mchezo mchafu uliofanyika kwenye zoezi la kuwapata makarani na wasimamizi maudhui huenda likaathiri upatikanaji wa taarifa sahihi kutokana na sababu kuu 2. 1-vijana wengi waliopatikana wamepatikana kwa njia isio sahihi yaani Rushwa na upendeleo.
Mfano kwenye kata yangu mtendaji wa Kijiji amejaza watu wake anao wajua na ndugu zake ambao hawakutuma hata maombi ya sensa.
Mwalimu mkuu wa shule jirani na kata husika ameita ndungu zake kutoka Mbeya na Geita wote hawakutuma maombi ukiangalia orodha ya majina iliyotoka kwenda semina majina yapo 33 Kati ya hao walio fanya usahili na kupita ni 2 tu hao 31 hawajulikani wametokea wapi 2- sababu ya pili kuwaengua watumishi na kujaza raia weng wa mtaani ambao hawana uzoefu na takwimu.
Hajui bila kupata uzoefu huwez kuwa mzoefuNdugu mtumishi WA umma,uwe na shukran.Unasema Sensa imeacha watumishi na kujaza vijana WA mtaani ambao hawana uzoefu na takwimu,wewe kuita majina kwenye attendance ya wanafunzi tayari umeshakua mtakwimu? Watumishi asilimia kubwa tuko na roho mbaya.Ridhika na kipande kidogo cha keki ya taifa unayoipata.Acha vijana ambao unasema hawana uzoefu wapate uzoefu na kipande cha keki ya taifa kiwasaidie kununua mahitaji Yao madogomadogo.
Kukosa KAZI ya sensa unakuja kufungua Uzi[emoji849]
Ona Sasa ushaitwa mwalimu.Ama attendance wanaitaga akina nanHajui bila kupata uzoefu huwez kuwa mzoefu
Kaumwa na upendeleo na rushwa... Sio sahihi kwa mtu ambaye hakufanyiwa usaili aokotwe mtaani na kuajiriwa... Wangeajiri hao vijana waliosailiwa. Sio ajabu hao wasiosailiwa wameajiriwa kwa kutumia majina na vyeti vya walioshinda kwenye usaili... Malalamiko yake japo yalilenga kujitetea kama mtumishi wa umma aliyeenguliwa yanawaza kuwa na ka ukweli !!Ndugu mtumishi WA umma,uwe na shukran.Unasema Sensa imeacha watumishi na kujaza vijana WA mtaani ambao hawana uzoefu na takwimu,wewe kuita majina kwenye attendance ya wanafunzi tayari umeshakua mtakwimu? Watumishi asilimia kubwa tuko na roho mbaya.Ridhika na kipande kidogo cha keki ya taifa unayoipata.Acha vijana ambao unasema hawana uzoefu wapate uzoefu na kipande cha keki ya taifa kiwasaidie kununua mahitaji Yao madogomadogo.
Kukosa KAZI ya sensa unakuja kufungua Uzi[emoji849]
Kero yake kubwa ni watumishi kuenguliwa akiwemo yeye,na kuwekwa raia WA mtaani.Kaumwa na upendeleo na rushwa... Sio sahihi kwa mtu ambaye hakufanyiwa usaili aokotwe mtaani na kuajiriwa... Wangeajiri hao vijana waliosailiwa. Sio ajabu hao wasiosailiwa wameajiriwa kwa kutumia majina na vyeti vya walioshinda kwenye usaili... Malalamiko yake japo yalilenga kujitetea kama mtumishi wa umma aliyeenguliwa yanawaza kuwa na ka ukweli !!