mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,446
- 985
Umebugi kabisa huko sikowewe utakuwa shabiki wa Arse8,na Mikia F.c!
Full stress!
Pogba umefika mbali sana angalia kamfano hakoHuyo atakuwa ni pogba
Nimekupata, mchezaji wa hivyo hapa bongo hhupangagwa tena,Mkuu naamini ni tasfida na siyo tafsida. Isitoshe tasfida ni tamathali ya usemi ambayo lengo lake hasa ni kupunguza makali ya lugha ili kutoharibu mashiko ya kitamaduni na muktadha wa kijamii. Mfano: Badala ya kusema Juma anakunya tunasema Juma anajisaidia. Najua unachotaka kusema hapa kuhusu huyo mchezaji wa hovyo lakini sina uhakika kama hii ni tasfida. Pengine ni sitiari au matumizi komavu ya lugha ya picha.
Yote kwa yote mkamia maji hayanywi na majigambo na kujionyesha wakati mwingine huzaa matunda ndiyo siyo. Na kuchamba kwingi waweza kujikuta waondoka na kimba
Aksante kwa mahihisho kadhaa naamini haijaondoa maana halisi ya mkutadha huu.Mkuu naamini ni tasfida na siyo tafsida. Isitoshe tasfida ni tamathali ya usemi ambayo lengo lake hasa ni kupunguza makali ya lugha ili kutoharibu mashiko ya kitamaduni na muktadha wa kijamii. Mfano: Badala ya kusema Juma anakunya tunasema Juma anajisaidia. Najua unachotaka kusema hapa kuhusu huyo mchezaji wa hovyo lakini sina uhakika kama hii ni tasfida. Pengine ni sitiari au matumizi komavu ya lugha ya picha.
Yote kwa yote mkamia maji hayanywi na majigambo na kujionyesha wakati mwingine huzaa matunda ndiyo siyo. Na kuchamba kwingi waweza kujikuta waondoka na kimba
Ni kweli mkuu. Ni typo ya kawaida tu; na ujumbe umefika kwa wawezao kufikiri. Happy New year 2017...Aksante kwa mahihisho kadhaa naamini haijaondoa maana halisi ya mkutadha huu.
Ni TAFSIDA mkuu na siyo TASFIDAMkuu naamini ni tasfida na siyo tafsida. Isitoshe tasfida ni tamathali ya usemi ambayo lengo lake hasa ni kupunguza makali ya lugha ili kutoharibu mashiko ya kitamaduni na muktadha wa kijamii. Mfano: Badala ya kusema Juma anakunya tunasema Juma anajisaidia. Najua unachotaka kusema hapa kuhusu huyo mchezaji wa hovyo lakini sina uhakika kama hii ni tasfida. Pengine ni sitiari au matumizi komavu ya lugha ya picha.
Yote kwa yote mkamia maji hayanywi na majigambo na kujionyesha wakati mwingine huzaa matunda ndiyo siyo. Na kuchamba kwingi waweza kujikuta waondoka na kimba
Exactly ni Pogba wa Tanzania.Huyo atakuwa ni pogba
najua,nishachoka na hizi kejeli na lugha picha!Umebugi kabisa huko siko
Yah mkuu. Tafsida ni tamathali ya semi inayopunguza ukali wa manenoInawezekana uko sahihi mkuu
Asante kwa nondo hizi kali kuhusu "tafsida"Yah mkuu. Tafsida ni tamathali ya semi inayopunguza ukali wa maneno