Mchezaji Diof ametoa utabiri wake huu, vipi unamuelewa?

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,753
21,208
Mchezaji Diof ametoa utabiri wake huu, vipi unamuelewa?
Screenshot_20190623-191623.jpg
 
Inawezekana.... Juzi tu Rais mstaafu wa DRC alitabiri matokeo ya mpira baina ya timu yao ya taifa "Leopards" baina yake na " Cranes" ya Uganda. Utabiri wake ilikuwa DRC>2 Uganda 0.... Kilichotokea kinafahamika ... Mpira huwa unadunda na mwamuzi ni 90" tu.:rolleyes:
 
Back
Top Bottom