Mchepuko

Mchepuko

SUPERUSER

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
960
Reaction score
308
ImageUploadedByJamiiForums1409849968.507764.jpg
Ni Sheeder!!
 
Aisee kitu kimeanza kusumbua ngoja nikatafute mchepuko...
 
Si ndo hapo sasa....sasa ana uzuri gani wakututishia amani ya nchi.Kila mwanamke ni mzuri sema matunzo tu

miss strong hilo limtoka moyoni kweli?kwakweli huyo binti ni mzuri kwa sura muogope Mungu msifie tu hata usiogope.
 
miss strong hilo limtoka moyoni kweli?kwakweli huyo binti ni mzuri kwa sura muogope Mungu msifie tu hata usiogope.

Huyu binti ni mzuri sana tu wa sura lakin haimpi gurantee yakunichukulia mume.Mbona ntacheza nae mpaka arudi kwao Rwanda
 

itakuwa unahangaika saana kupata warembo wewe,, means kuwa hata gali wako kimeo aiseee,, samahani kama nakuudhi ila ukweli nikwamba huwezi fumaniwa eti kisa dem mzur mkeo akae kimia,, mke ni tofauti saana na huyo uliyenaye nje, mbona kuna machangudoa warembo mpaka balaa ila wewe umempenda mkeo japo kimeo??

MICHEPUKO SIO DILI BAKI HIGH WAY
 
Back
Top Bottom