Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,472
- 145,739
- Thread starter
-
- #41
Hahaaaa Bossman mi na hang out sehemu zote tu. Hata Mburahati huwa napatikana...Buza nako nipo....Majohe...kotekote tu.Inaonekana una hang out Sinza zaidi?
unapajua Brazil Pub Tegeta? opposite na kibo complex?
hisaje je?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Si uende pale Kangaroo ukachukue wale wa mwendokasi....
Nimeahakomaa kila mahali wala na pia ningempiga kibomu angekuja na story ingine hapa.. kwa kwel siyo meHaikuhusu wewe kweli hii mkuu?[emoji23] [emoji23]
Ushawahi kuniona huko kwa Obama?
Mmea wake si mchezoKisimiri
Mmea wake si mchezo
Una nini?Mmea wake si mchezo
Huyo hata hadhi ya gf hana inaelekea..nadhan ni side chick tu.Tafsiri ya mchepuko ni only kama umeoa au yeye kaolewa
kama wote hamko kwenye ndoa sio mchepuko...muite gf
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Huyo hata hadhi ya gf hana inaelekea..nadhan ni side chick tu.
Imekula kwakoBe first to reply
ha ha ha hadi raha mtu na mke wake mnavyobishanaKwahuo mchepuko wako
Niende kwa Mchagga wangu?
Hata wewe![emoji27]ha ha ha hadi raha mtu na mke wake mnavyobishana
ILA vale hutaki kushare utamu??? Wanawake tupo wengi kuwa na upendo acha gegedo litumike nyani ngabu Ni rijal akimaliza anaosha anakuja kwako unalitumia.sharing is caring
Hongera kwa kuwa na ID mbili Nyani Ngabu [emoji23]Wamwendokasi siwataki
Sawa mchepeko wa kudumu.... asante kwa kunisifia .
I love u mchepuko[emoji8][emoji8]