Mchepuko wangu ametegwa kwa dawa

Mchepuko wangu ametegwa kwa dawa

dickdickinyo

Senior Member
Joined
May 19, 2015
Posts
118
Reaction score
53
Nina mchepuko ambao una jamaa yake wanaishi wote.Sasa ishu ni kwamba jamaa amemwambia mchepuko kuwa alienda kwa mganga na amemwekea mtego kwamba akichepuka tu anagandana na mwanamme aliyetembea nae.Mchepuko unasita kunipa papuchi kwa kuogopa kuwa tutagandana.
 
Gonga ngozi iyo Mkuu, apo hamna tego wala ulimbo, kabobo tu izo!
 
Sasa kuna rafiki yangu anasema anajua dawa ila hataki kunitajia..Anadai nimuunganishe na mchepuko agonge kwanza yeye kama hatonasa atajua dawa inafanya kazi.Niko njia panda
 
uko njia panda ipi, tazara? magomeni? au ubungo?

maeneo yote hayo kuna gesti nyingi tu, mpigie huyo mchepuko aje mfanye vitu kugandana sio kizuizi
 
Yaan watu siku hizi wanaona kuchepuka ndo issue kumbe kujazana ujinga tu.Madhara ya huko kuchepuka kwenyew ni makubwa kuliko faida.
 
Sasa kuna rafiki yangu anasema anajua dawa ila hataki kunitajia..Anadai nimuunganishe na mchepuko agonge kwanza yeye kama hatonasa atajua dawa inafanya kazi.Niko njia panda

Hehehe!! hiyo safi, mpe yeye akufungulie halafu itakua sawa.
 
Yaan watu siku hizi wanaona kuchepuka ndo issue kumbe kujazana ujinga tu.Madhara ya huko kuchepuka kwenyew ni makubwa kuliko faida.

Bora watakua wamekuskia
 
Pga chin huo mchepuko km unajipenda
 
sasa mchepuko unaogapa kunipa mzigo tutagandana-Pumbavu
 
Lini mmepanga kugongana ili nijue kama nanunua magazeti ya Shigongo siku hiyo au la.
 
wacha weeeee zini nae kesho tukuone kwenye media unauza suraaa bwana mautam...
 
Nina mchepuko ambao una jamaa yake wanaishi wote.Sasa ishu ni kwamba jamaa amemwambia mchepuko kuwa alienda kwa mganga na amemwekea mtego kwamba akichepuka tu anagandana na mwanamme aliyetembea nae.Mchepuko unasita kunipa papuchi kwa kuogopa kuwa tutagandana.

Acha kuchepuka mrudie Mungu muumba tubu dhambi zako.....
 
1 Wakorintho 6

9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Back
Top Bottom