BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 786
Fanyeni hadharani[emoji4]Kuna dada tulikuwa wote kwa miaka zaidi ya nane ila tulikuja kuachana baada ya kuwa amepata mtu ambae ana mpango wa kuishi nae.
Tulikaa tukakubaliana kabisa tufike mwisho. Sasa hivi tuna mwaka mmoja hatuko wote na yule jamaa bado wako nae na mimi niko na mke wangu..
Kinachonishangaza sasa hivi anasema bado ananipenda na anataka tuendelee kusex kwa siri.
Je, niendelee jamani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa unatuambia sis?!!