Mchepuko unataka mtoto

lyaguchunya

Member
Joined
Aug 18, 2020
Posts
56
Reaction score
417
Nilikutana na huyu dada 2019. Nikawa natumia. Wakati huo alitoka kufiwa na mme wake. Mme alikufa kwa ajali. Ana watoto 3 na mmoja alikuwa mdogo Sana wakati nakutana nae. Sasa kamekua kapo awali. Baada ya huyu mtoto kukua toka mwaka Jana wimbo wake ni kupata mtoto.

Mimi sitaki mtoto wa nje ya ndoa. Najua madhara yake. Huyu dada huwa natumia kondom tukikutana.
Kondom hazitaki tena anataka tupime ili niwe namkaza bila kondom. Mimi Sina future nae ndo maana sioni umuhimu wa kupima nae. Nipime ili iweje. Sitaki kuwa na mtoto nae, huo ndo msimamo wangu.

Kuna mda nilipata ajali ikawa ngumu kukutana nikawa nashinda home muda mwingi Nimepona nikamtafutia siku nae apate haki yake. Nikampanga twende sehem tukamalizane. Akaomba na ahadi yake itimizwe.
Nikamwambia asiwe na haraka.

Wakati wa maandalizi nikatoa box la ndom. Dem akawa Hana mood. Eti akauliza hizi za Nini ina maana huniamini... Sikujali nikachakata mbususu. Kabla sijamaliza akasema hataki amechoka. Akaniacha na ugwadu wangu..

Kaanza kunitafuta tena kwa hoja yake ya mtoto. Nimewaza hapa nikiendekeza nitapewa baby kweli.

Nilichoamua Ni kumwacha.
 
Elimu ya matumizi ya condom inabidi itolewe upya kabisa kama kweli huwa mnafanya mapenzi na yanakuwa mapenzi kweli pamoja na kwamba unajifanya unatumia condom basi kama ni muathirika hata wewe utakuwa umesha athirika tuu pamoja na condom zako labda kama mnafanya mapenz kama kuku.
 
Hawa ndo wanaume wa dar wanaogopa hadi kumpa mwanamke mimba, mwambie aje mikoani huku atarudi na timu ya watoto
 
Huyo dada nipe namba yake niongee aache ujinga inamaana hajui kazi ya mchepuko ni starehe na sio kuzaa umbwa moja hiyo......ni mjane afu anataka kuongeza watoto
 
Aiseee mi single mama naokutana nao mapenzi napata na manjonjo kibao lkn akiskia nazungumzia mtoto TU nanyimwa kama mwezi hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…