Mchepuko unaomba kila tshirt/shati

Sasa huyo mchepuko mwenzio huyooo mchukua nguo akija sasa badilisheni mfumo yeya anachukua t~shirt anakuachia tyt yake na akitaka shati anaacha kachu*** kake sasa yule mashine ya kufua ikija ikiuliza nguo zingine vp mwambie nimefanya biashara ya bata tredi na nimepewa hizi hapaa hii kwa ilee shati na hii kwa ile t~shirt. Hope utakupa Exellent perfomance...
 
Mmmh!!!! bila shaka yuko kwenye maandalizi ya kukuhifadhi kwenye chupa. wahi kanisani/msikitini ujinusuru.
 
Ww aujaoa, apo nani mwenye haki juu ya mwenzake? Eti una mchumba na mchepuko!!! Mpakaufikie kuoa sijui kama utakua mzima ww!!!? Na wote wanakuja kwako!!? Maajabu haya!!!
 
Asante Mungu naona leo key board ya Pdidy imetulia. Nakemea mapepo mabaya yanayoharibu keys board ya Pdidy yasirudi tena. Hata yule Pdidy Jr
 
Amen chapanalo ni sadakatu zawalewenye kumjali mtumishi was Mungu
 



Nimeipenda hiyo
 
Nimeipenda hiyo

Niwashauri nn kizaz hiki cja kichina? Hata wasomeje...hawaelewi. HIVI NI VICHWA VYA SHAKE WELL BEFORE USE. Tabu tupu. Ndo wataomba nafasi ya kuwaongoza watz...kwa kigezo graduate/ full documents...vichwa vimejaa matope. TAIFA HILI...mmh!
 
Mbona balaa sasa. Ngoja nirudi njia kuu kama hali ndio hiyo.

Ndio hivyo kaka,kutoa toa nguo zako kwa michepuko wengine wana mambo yao,hlf mpk uje kugundua na kuweka mambo sawa ushapoteza hela na muda pia.

Baki njia kuu,Mheshimu mkeo kuna watu wanajutia hiyo tabia ya kushea nguo na michepuko mkuu.
 

Asante sana umemaliza yote mkuu
 
We mdekeze tu ooh, mara kachukua shati, marg t_shirt na bado atakuchukulia mpaka BOKSA na CHUPI kama huwa unavaa.
 
unamuendekeza mwenyewe! Vitu vingne unakataa tu hata kama unazamia papuch.
 

Akifanya hivi...atakuwa amefanikiwa na atarejesha concetration kweny masomo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…