Mpwa anazipeleka kwa sangoma soon utashangaa unaita ndoa ya fasta kumbe washakupulizia mwanawane kimbia
Habari wadau.
Kuchepuka najua ni kosa ila mazingira yanachangia. Mchepuko wangu ukija gheto akiona shat au tshirt yangu nzuri anaiomba na kuondoka nayo.
Nashindwa kumuelewa nikimwambia ntamnunulia yake hataki anataka zangu. Shat 5 na tshit 3 zishaondoka.
Kinachonitia uoga mchumba wangu akija anapenda kunifulia na alishaniuliza mbona shat fulan siioni? Najitetea nimempa dogo.
Ushauri wadau nifanyeje.
Embu usitupotezee bundle na muda ili tusome upuuzi!Habari wadau.
Kuchepuka najua ni kosa ila mazingira yanachangia. Mchepuko wangu ukija gheto akiona shat au tshirt yangu nzuri anaiomba na kuondoka nayo.
Nashindwa kumuelewa nikimwambia ntamnunulia yake hataki anataka zangu. Shat 5 na tshit 3 zishaondoka.
Kinachonitia uoga mchumba wangu akija anapenda kunifulia na alishaniuliza mbona shat fulan siioni? Najitetea nimempa dogo.
Ushauri wadau nifanyeje.
hahahah Tyta sio kweli bhana anaenda kuvaa
Ushari ni kwamba baki njia kuu af uache kumfulisha nguo mchumba subiri utoe mahari ndo ufuliwe