Kijana ukiandaa maneno ya kumtongoza demu ujue ukifika muda wa kuongea nae, maneno yote yatavapourize na yatakuja mapya kabisaaa , sasa we subiri hicho kisanga kikukute ndo utaona jinsi unavyo kisolve
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]