Hapo huna tatizo lolote, ni kwa vile umempa mchepuko nafasi kubwa ktk hisia zako za kimapenzi. Jaribu kuacha kumfikiria huyo mchepuko, jenga hisia kuwa mkeo ndio mrembo na mtamu kuliko mchepuko.
Na ukitaka ku-do na mkeo, tafuta kitu kimoja mwilini mwake (titi, paja, tumbo, tako, etc) kinachokuvutia, then kiangalie hicho tu huku na hisia/akili/mawazo/.. vyote weka hapo, dudu halitaanguka, uta-do!