Mchepuko oyeee!

Siku huyo mchepuko akifumaniwa na mmeo na akatolewa linda utaona kama ataweza kukukuna tena
 
Anachokiongea dagaa ni matokeo tuu ya mahusiano machungu kati ya wanandoa. Sijui dagaa alikutana na changamoto gani iliyompelekea kufikia maamuzi hayo....

Siku zote wewe Mwanamke mwenye ndoa omba sana akupe uwezo na ujasiri wa katatua matatizo ya ndoa yako lakini isiwe kwa kutafuta mchepuko

Ndoa ikishindikana kabisa heri kukaa pembeni kuliko hii hekaheka ya kuwa na waume wawili
 
Unaongeza viungo si ndio eeeenh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…