Mchepuko king'ang'anizi

Andaa kadi feki ya mchango wa harusi yako na mchumba unayetaka kumuoa umpatie atanywea mwenyewe maana anakuona huna msimamo anacheza na akili yako
 
sasa fanya mpango wa kuniuzia hicho kiwanja alichokinunua na kuandika jina lako kama ww hukitaki
 
Daah! sikujua kumbe watu wako na problaah kiasi hiki duuh!

Ushauri.

Mkuu huyo anakupenda kweli na ana nia ya dhat kabisa wenda ulienae ndo anakuchezea hila kama humpendi, achananae atakusumbua hata ukimwoa kwa kujilazimisha.
Unalo hilo
Ukimuendekeza mbwa, utaingia naye msikitini.

Tuipende nchi yetu Tanzania.


post using my macbook air using jamiiforums app
 
Nimeupenda sana ushauri wako mkuu. Asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…