Mchepuko king'ang'anizi

Hawezi kuniweka kwenye chupa ataisoma namba tu mwolewaji ameshajulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipm kiongozi ninaweza kukusaidia kwa faida yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 

oa bilhi zote acha woga na uvivu
 
HUYO ALIKUWA NA BWANA CHUO WAKAT YUPO WA MOTO

AMEMALIZA CHUO PAPUCH IMECHOKA NA MARAFK ZAKE WAMEOLEWA ILA YEYE BDO.

HVYO ANATAKA AOLEWE FASTA ILI KUFAUATA MKUMBO WA MARAFIKI.

MUOE MCHUMBA WAKO WA SKU ZOTE NA UTAPATA BARAKA.

UKIMBWAGA MCHUMBA WA ZAMANI KWA AJILI YA HUYO MBABAISHAJ ITAKULA KWAKO
 
ASANTE MKUU KWA USHAURI WAKO MZURI. NITAUZINGATIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo demu alishakuweka kwenye list ya options zake. Priority sio wewe na anataka muwe wote kwa maana ulionesha nia ya kumuhitaji kiukweli hapo awali, its likely tayari amemwagwa na mtu ambae aliona ndio wa uhakika kipindi kile we unamtaka.

Hapo kinachomtesa hivyo ni ile aibu kuwa ye alikosea kuchagua mtu na wenzie wote wameolewa tayari. Sasa amekurudia wewe na kukupa yote uliyohitaji na kulazimisha bonus pack ilihali anajua una mtu wako tayari. Hio sio dalili nzuri hata kidogo na kwa KE anayejiheshimu asingeweza kufanya hayo.

Trust me huyo hakukupenda na hata mkiwa wote after harusi atakuwa anachepuka na yule ex wake na wanaume wa type ile huku akianza dharau maana umempa power ya kuku drag. Anataka akurubuni umuoe tu umfichie aibu ila hamna mke hapo.

Nakushauri baki na mpenzi wako mlioanza nae mbali hadi kufikia sasa umejiweza na mmepanga kuoana. Huyo ndie anaekuelewa vyema hakika mtabarikiwa sana mkuu!
 
Umri umeenda anatafuta pa kufia maringo mengi utadhani yake inatema maji ya kimakinikia mpe za uso usipokee simu zake, ukitaka kumuadhibu nyani usimuangalie usoni,

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…