Mchepuko king'ang'anizi

[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] sio kweli mkuu..sitomsaliti nimpendae ni yule yule..the first and the only one forever [emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] nimejitaidi kukomaa mpaka ukasema ukweli sasa kama kuna mchepuko unaviziwa humu Jf jibu limepata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] nimejitaidi kukomaa mpaka ukasema ukweli sasa kama kuna mchepuko unaviziwa humu Jf jibu limepata

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] huko sipo kabisa na ndio maana nawapiga vita wasaliti kama huyu anaekuja kushauri kuwa akubali kuhongwa au asikubali[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Me mtu wa Mungu..bana
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] hakiyamungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chai hizi jaman....
Usawa huu.....

Upewe kiwanja...

Dah.... Anyway.
 
Achana nae bwege huyo kachezea bahati. Wakati wewe uko unamtafuta yeye anadengua Leo kaona umri umeenda analazimisha ndoa.
Wanawake wajinga sana hawa wanapotezaga bahati sana tu.
Mimi kuna demu 1 Nilitaka hivyo hivyo akazingua akatoka na mshkaji wangu kisa alikua ana gari kipindi hicho akanitosa Mimi. Kumbe jamaa kicheche hafai. Kamzalia alafu kamuacha,wakati huo na Mimi nishapata wangu wa ukweli nabaki namuangalia tu kabaki nyumbani.
 
Shetani tu kwani wewe hujawahi kuchepuka Doris? Sema ukweli wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipokuwa anakuzingua kulikuwa na mme mwenzio alikuzidi kete then huyo jamaa kamzingua hivyo ikabidi ajishushe kwako nawe kwa uroho ukaona kipya kinyemi sasa inabidi uoe tu na in short huponi maana umekula vyake vingi na akili zako zimewekwa kwenye chupa.
Hayo ni mapenzi jaza ujazwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa viumbe ndo walivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…