Mchepuko king'ang'anizi

Mchepuko king'ang'anizi

Maisha pesa

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2015
Posts
681
Reaction score
632
Wakuu sijaoa lakini nina mchumba ambaye soon tutaoana. Sasa kuna binti mwaka jana alikuwa anasoma chuo nilimpenda kwa dhati kwa nia ya kumuoa lakini akazingua ni mzuri sana na ilibidi nimtongoze kama miezi 2 hivi siyo kawaida yangu nilipoona mambo bado magumu nikamtema na nikapata mwingine ambaye tumepiga hatua hadi kukaribia kuoana sasa.

Mwaka huu yule binti alianza mazoea hapo ameshamaliza chuo anafanya kazi yaani msg asubuhi, mchana, jioni na usiku. Akipiga simu anataka tukeshe tunaongea na anaomba appointment za kuonana na mimi mara kwa mara papuchi ananipa kama vile nimeoa. Nilistaajabu sana yalipotoka haya mapenzi yasiyojulikana.

Sasa jamani sasaivi anataka ndoa kwa nguvu yaani anadai afe kipa afe beki lazima nimuoe anamzingua hadi mchumba wangu. Nimeshamtia makofi mara 3 lakini aachi. Anajitoa vibaya sana kwangu hadi mshahara wake wote analeta. Majuzi amenunua kiwanja kaandika jina langu nimemwambia sitaki hiyo ni mali yako, ananishauri tuingie miradi ya pamoja na biashara namkatalia.

Nimeshamweleza sina mpango wa kumuoa lakini haelewi anadai nimemchezea na rafiki zake wote wameolewa yeye ataolewa na nani. Sasa namuuliza mbona sikukukuta bikra? Anakosa majibu na nilipotambua ananitega mimba nikaacha kumgegeda.

Nishaurini nimfanyeje huyu mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengine alikupenda ukaishia mapema au alikuwa na boyfriend akadengua.
Any way mwisho wa siku muamuzi ni wewe mwenyewe
 
Baada ya kuzungushwa for two months..aka give up. Alivokuja akamkubali testing if she will still act the same kumbe mwenzie ana long term plan..ndo kang'ang'ana
Yap ndo hivyo mkuu ila kigeugeu hakimuachi mtu salama..mtu aweza akawa na mahusiano na mwenzie kwa muda mrefu then akam'bwaga kwa kufuata matamanio ya nafsi yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom