Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,415
- 30,132
😅😅😅😅😅huku madongo kuinamatag location please..
😅😅😅😅😅huku madongo kuinamatag location please..
😅😅😅😅😅huku madongo kuinama
Baki njia kuu, Mchepuko sio dili...Kama hutaki kuwa na msongo wa mawazo, unatakiwa uelewe kuwa mchepuko hauchungwi; muda ule unapokuwa naye ndio muda wa wewe kummiliki na kujivinjari uwezavyo.
Ukiondoka eneo la tukio, usimuweke kichwani. Pambana na mambo yako mengine; vinginevyo, utatafuta msongo wa mawazo; na kuwa na magomvi na kila mtu.
Mchunge mkeo/mumeo, ila mchepuko hauchungwi.