Mwambie ukweli mchepuko na kuwa ushahidi ya kwamba unajua kuwa ana mtoto na mengine zaidi kuhusu yeye halafu utamsikilizia atachukua hatua gani, ila kama una mpenda tafuta njia yeyote ile umueleweshe vyema nadhani atakuelewa na si mbaya ukimuomba msamaha.