Huyo mama mwenye mtoto ana roho ngumu sana
Jibu zuri sanaIla aliyekataa mimba ana roho nzuri mno
Mimi siwezi kukubali hata kidogo kwakweli... Noooo! Raha wapate wao kinyesi nifue mie... Ni no... Ningekuwa nimemkuta ata akiwa na siku mbili nalea
Heri kumkuta mtoto sio kuletewa mtoto.... Naunga mkono hojaUna roho mbaya
Heri kumkuta mtoto sio kuletewa mtoto.... Naunga mkono hoja
Naacha nyumba naenda wapi teh mi ntaendelea kuwepo, ila dhambi zake abebe mwenyeweKwahiyo baba akikomaa utaondoka uache nyumba?!
Kweli roho yangu mbaya sanaaaaa!!!!Una roho mbaya
Kweli roho yangu mbaya sanaaaaa!!!!
Na aking'ang'ania sanaaaa akae hapo home itakula kwao