Mchengerwa: Rufiji Mbioni Kuwa Mkoa

Mchengerwa: Rufiji Mbioni Kuwa Mkoa

Ndio ,kwani Nansio ukerewe wanajenga ya hadhi gani? Tuna hospital ngapi za hadhi ya kitaifa za private huko Wilayani? Eg Ikonda Market,Hydom Manyara,Nzega Vijijini nk?

Ujinga wa kukwepa majukumu ndio unawafanya mnawaza hivyo na Kwa taarifa Yako tuu sio sifa kusafiri umbali.mkubwa kufuata Huduma Kwa huo utoto wa sijui Wilayani sijui Mkoani au taifani.
Hao wanapewa mkoa, ngoja wakushangaze
 
Huyu dawa ni kuwagombanisha waachane na mtoto wa Samia ndio itakuwa mwisho wa uwaziri😁😁😁
 
Ndio ,kwani Nansio ukerewe wanajenga ya hadhi gani? Tuna hospital ngapi za hadhi ya kitaifa za private huko Wilayani? Eg Ikonda Market,Hydom Manyara,Nzega Vijijini nk?

Ujinga wa kukwepa majukumu ndio unawafanya mnawaza hivyo na Kwa taarifa Yako tuu sio sifa kusafiri umbali.mkubwa kufuata Huduma Kwa huo utoto wa sijui Wilayani sijui Mkoani au taifani.
Private!? .fikiri bro, nzega vijijini kuna hospital gani ya hadhi ya kitaifa?
 
Baada ya harakati za kugawa majimbo ya Uchaguzi kushika Kasi suala la kuunda Mikoa mipya nalo limeanza kujitokeza ambapo Waziri wa Tamisemi bwana Mchengerwa amesema huenda Rufiji ikawa Mkoa Mpya.Pia soma Ushauri. Ni muda sahihi Bagamoyo ipewe hadhi ya mkoa

Waziri huyo na Mbunge wa Rufiji amesema jambo Hilo litategemea ikiwa Wilaya za Mkoa jirani wa Lindi ya Kilwa kama itakubali Ili kufanikisha Vigezo.

Ikumbukwe Mikoa mingine iliyoomba kugawanywa na kuwa Mkoa Mpya ni

-Chato (itachukua Wilaya za Kagera,Mwanza,Kigoma),

-Mkoa wa Manonga( kutoka Tabora),

-Mkoa wa Handeni( kutoka Tanga),

-Mkoa wa Kilombero (kutoka Morogoro) na

-Mkoa wa Rufiji (kutoka Pwani & Lindi).

View: https://www.instagram.com/reel/DHyZU5Kom_c/?igsh=a3NlOHk4bmMxYnly

My Take
Kuongeza Mikoa mipya bila kubadili mfumo wa Usimamizi wake haiwezi kusaidia lolote kwenye maendeleo sana sana itaongeza mzigo Kwa walipakodi.

Raha sana Tz. Mitano Tena but 2030 tujiandae kisaikolojia
 
Hakuna mahala upigaji umepungua na kutowapa mamlaka ya usimamizi Serikali za Mitaa ndio imefanya wizi uwe chain kubwa ya kuanzia wizarani.
I bed to differ on suala la upiga, haujaisha ila umebadilika, instead ya kuanzia chini unaanzia juu kushuka.
If you tell me ni kupunguza upigaj is not right
That means, system zote mbili zimeshindwa kuleta ufanisi unaotakiwa kwa sababu upigaji wabongo na upigaji sasa ni kama mmasai na rungu au sime!
Kwa hiyo adui yetu mkubwa siyo mfumo, bali ni upigaji. Ni mfumo upi utarusaidia kupambana na upigaji?
 
Baada ya harakati za kugawa majimbo ya Uchaguzi kushika Kasi suala la kuunda Mikoa mipya nalo limeanza kujitokeza ambapo Waziri wa Tamisemi bwana Mchengerwa amesema huenda Rufiji ikawa Mkoa Mpya.Pia soma Ushauri. Ni muda sahihi Bagamoyo ipewe hadhi ya mkoa

Waziri huyo na Mbunge wa Rufiji amesema jambo Hilo litategemea ikiwa Wilaya za Mkoa jirani wa Lindi ya Kilwa kama itakubali Ili kufanikisha Vigezo.

Ikumbukwe Mikoa mingine iliyoomba kugawanywa na kuwa Mkoa Mpya ni

-Chato (itachukua Wilaya za Kagera,Mwanza,Kigoma),

-Mkoa wa Manonga( kutoka Tabora),

-Mkoa wa Handeni( kutoka Tanga),

-Mkoa wa Kilombero (kutoka Morogoro) na

-Mkoa wa Rufiji (kutoka Pwani & Lindi).

View: https://www.instagram.com/reel/DHyZU5Kom_c/?igsh=a3NlOHk4bmMxYnly

My Take
Kuongeza Mikoa mipya bila kubadili mfumo wa Usimamizi wake haiwezi kusaidia lolote kwenye maendeleo sana sana itaongeza mzigo Kwa walipakodi.

Pamoja na mgawanyo wa mikoa na wilaya kuonekana kutokana na upendeleo wa kisiasa, mikoa wa pwani unastahili kugawanywa kwa kuzingatia jiografia na kurahisisha huduma kwa wananchi.
Kuwe na mikoa miwili.
1. Pwani (mji, makao makuu au mkoani iwe Chalinze).
2 Rufiji (mji, makao makuu au mkoani iwe Kibiti).
Kuweka makao makuu ya mkoa wa Pwani Kibaha ni kutesa wananchi kufuatilia huduma za kiserikali.
 
Baada ya harakati za kugawa majimbo ya Uchaguzi kushika Kasi suala la kuunda Mikoa mipya nalo limeanza kujitokeza ambapo Waziri wa Tamisemi bwana Mchengerwa amesema huenda Rufiji ikawa Mkoa Mpya.Pia soma Ushauri. Ni muda sahihi Bagamoyo ipewe hadhi ya mkoa

Waziri huyo na Mbunge wa Rufiji amesema jambo Hilo litategemea ikiwa Wilaya za Mkoa jirani wa Lindi ya Kilwa kama itakubali Ili kufanikisha Vigezo.

Ikumbukwe Mikoa mingine iliyoomba kugawanywa na kuwa Mkoa Mpya ni

-Chato (itachukua Wilaya za Kagera,Mwanza,Kigoma),

-Mkoa wa Manonga( kutoka Tabora),

-Mkoa wa Handeni( kutoka Tanga),

-Mkoa wa Kilombero (kutoka Morogoro) na

-Mkoa wa Rufiji (kutoka Pwani & Lindi).

View: https://www.instagram.com/reel/DHyZU5Kom_c/?igsh=a3NlOHk4bmMxYnly

My Take
Kuongeza Mikoa mipya bila kubadili mfumo wa Usimamizi wake haiwezi kusaidia lolote kwenye maendeleo sana sana itaongeza mzigo Kwa walipakodi.

Anajipigia pande
 
1.Kuondoa ma DC na kuwapa Nguvu Serikali za Mitaa kuamua mambo Yao badala ya Sasa kuwa mawakala wa Serikali kuu.

2.Kuwa na Kanuni maalumu za mgawanyo wa Rasilimali za Serikali Kuu kama ilivyo Nchi nyingi hasa USA badala ya Sasa kutegemea uchawa(viongozi wanaotoka kwenu).

3.Kukusanya na kupanga matumizi ya Fedha wenyewe badala ya Kila chanzo kuingia Serikali Kuu harafu ndio mnasubiria huruma za walioko Dom/Dar.

harafu❌
 
Back
Top Bottom