Kila waziri ajaye akitaka kufanya jimbo lake kuwa mkoa si itakuwa kazi!Kwenye kugawa mikoa nawaunga mkono maana kuna mikoa ni mikubwa aki..
Ila majimbo kugawa ni upuuzi mtupu..
Baada ya harakati za kugawa majimbo ya Uchaguzi kushika Kasi suala la kuunda Mikoa mipya nalo limeanza kujitokeza ambapo Waziri wa Tamisemi bwana Mchengerwa amesema huenda Rufiji ikawa Mkoa Mpya.Pia soma Ushauri. Ni muda sahihi Bagamoyo ipewe hadhi ya mkoa
Waziri huyo na Mbunge wa Rufiji amesema jambo Hilo litategemea ikiwa Wilaya za Mkoa jirani wa Lindi ya Kilwa kama itakubali Ili kufanikisha Vigezo.
Ikumbukwe Mikoa mingine iliyoomba kugawanywa na kuwa Mkoa Mpya ni
-Chato (itachukua Wilaya za Kagera,Mwanza,Kigoma),
-Mkoa wa Manonga( kutoka Tabora),
-Mkoa wa Handeni( kutoka Tanga),
-Mkoa wa Kilombero (kutoka Morogoro) na
-Mkoa wa Rufiji (kutoka Pwani & Lindi).
View: https://www.instagram.com/reel/DHyZU5Kom_c/?igsh=a3NlOHk4bmMxYnly
My Take
Kuongeza Mikoa mipya bila kubadili mfumo wa Usimamizi wake haiwezi kusaidia lolote kwenye maendeleo sana sana itaongeza mzigo Kwa walipakodi.
Kwamba walipokuja ku centralize upigaji haukuendelea?Hili si lilishafanyika huko nyuma, na matokeo yake watu wakawa wanajipigia tu pesa kwenye halmashauri za miji na wilaya bila huruma na hakuna wa kuwauliza?
1. Moro ni kubwa ikatweWangefanya mpango wa mfumo wa majimbo tu..Tz iwe na majimbo kama 4 au 5 tu yenye magavana wao kwisha. Mikoa mikoa inazidisha kuwa na viongozi wengi wa kunyonya bajeti ya Nchi
Majimbo ndio nini? Kenya Kuna Majimbo? Mbona mumekariri ujinga? Kwani ikiitwa Mikoa Kuna shida gani?Wangefanya mpango wa mfumo wa majimbo tu..Tz iwe na majimbo kama 4 au 5 tu yenye magavana wao kwisha. Mikoa mikoa inazidisha kuwa na viongozi wengi wa kunyonya bajeti ya Nchi
Uliendelea, lakini siyo kwa kiwango cha kutisha km cha kabla ya centralization!Kwamba walipokuja ku centralize upigaji haukuendelea?
Mkoa mkubwa namba 1 🇹🇿 ni Tabora1. Moro ni kubwa ikatwe
2. Pwani ni kubwa ikatwe
Tupate mikoa mipya ya kilombero na Rufiji na
1. Kilombero makao makuu yawe ifakara
2. Rufiji makao makuu yawe Ikwiriri
Uko sahihi Moro naijua vizuri1. Moro ni kubwa ikatwe
2. Pwani ni kubwa ikatwe
Tupate mikoa mipya ya kilombero na Rufiji na
1. Kilombero makao makuu yawe ifakara
2. Rufiji makao makuu yawe Ikwiriri
Ndio ,kwani Nansio ukerewe wanajenga ya hadhi gani? Tuna hospital ngapi za hadhi ya kitaifa za private huko Wilayani? Eg Ikonda Market,Hydom Manyara,Nzega Vijijini nk?Unaweza kuwa na hospital ya hadhi ya mkoa wilayani?..utapata huduma zinazopatikana ofisi za mkoa wilayani?..
Kwani atatenguliwa? Huyo hapo ni moja kwa moja na anaweza akawa mwenyekiti wa CCM taifaLabda mkwewe andelee kumteua!
Hakuna mahala upigaji umepungua na kutowapa mamlaka ya usimamizi Serikali za Mitaa ndio imefanya wizi uwe chain kubwa ya kuanzia wizarani.Uliendelea, lakini siyo kwa kiwango cha kutisha km cha kabla ya centralization!
Africa upigaji umekuwa kama asili yetu, ni kama tulivyo relation oriented kwenye jamii zetu.
Aongeze ufundi!Kwani atatenguliwa? Huyo hapo ni moja kwa moja na anaweza akawa mwenyekiti wa CCM taifa
I bed to differ on suala la upiga, haujaisha ila umebadilika, instead ya kuanzia chini unaanzia juu kushuka.Uliendelea, lakini siyo kwa kiwango cha kutisha km cha kabla ya centralization!
Africa upigaji umekuwa kama asili yetu, ni kama tulivyo relation oriented kwenye jamii zetu.
Fikiria raia anatoka ikwiriri anapita dsm anafata huduma ya kimkoa kibaha kisha anarudi ikwiriri, huoni ni usumbufu mkubwa?Morogoro na Tabora pekee ndio mikoa yenye sifa ya kugawanywa.
Huko kwingine ni siasa tupu.
Pwani kama ni kubwa wahamishie baadhi ya wilaya mkoa wa Dar