LGE2024 Mchengerwa: Bilioni 254.82 zilitumika uchaguzi serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
"Mwaka 2024/25 Ofisi ya Rais TAMISEMI iliidhinishiwa shilingi bilioni 254.82 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 247.03 ni fedha kutoka serikali kuu na shilingi bilioni 7.78 ni fedha za mapato ya ndani ya halmashauri kwa ajili ya uchaguzi. Uchaguzi huu ulihusisha uchaguzi wa viongozi katika ngazi ya msingi ambao ni wenyeviti wa vijiji, mitaa, vitongoji, wajumbe wa halmashauri za vijiji na wajumbe wa kamati za mitaa"- Mchengerwa.

Waziri wa TAMISEMI Mohammed Mchengerwa ameyasema hayo Jumatano Aprili 16,2025 bungeni Jijini Dodomacwakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
 
Dah...yanahitajika mapinduzi.
 
Duu hatari sana
 
wezi wa kura waligawana maokoto!

No Reforms, No Elections!
 
View attachment 3306185
Uuuuwiiiii!!! Uuuuwiiii!! Mungu iokoe Tanzania yetu!
 
Si bora mngeziacha tu hivi kulikua na uchaguzi..?
 
CRDB imejiingiza kwenye mahusiano ya kisiasa yanayoweza kuathiri mitaji ya wawekezaji. Kwa mara ya kwanza CRDB hawajatoa taarifa ya mkutano wa wanahisa mapema kama ilivyozoeleka. 🤔
 
"Mwaka 2024/25 Ofisi ya Rais TAMISEMI iliidhinishiwa shilingi bilioni 254.82 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 247.03 ni fedha kutoka serikali kuu na shilingi bilioni 7.78 ni fedha za mapato ya ndani ya halmashauri kwa ajili ya uchaguzi. Uchaguzi huu ulihusisha uchaguzi wa viongozi katika ngazi ya msingi ambao ni wenyeviti wa vijiji, mitaa, vitongoji, wajumbe wa halmashauri za vijiji na wajumbe wa kamati za mitaa"- Mchengerwa.

Waziri wa TAMISEMI Mohammed Mchengerwa ameyasema hayo Jumatano Aprili 16,2025 bungeni Jijini Dodomacwakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
View attachment 3306185
Ndizo pesa zilizotumika kununua wapinzani maeneo yote yaliokuwa na upinzani.

Ni hizo hela mngejenga shule na zahanati halafu mngeteuana tu kimya kimya ..

Mtu mweusi ni laana Kwa Dunia.
 
Ulikua ni uchafuzi na sio uchaguzi.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom