Mchele wa super magugu unapatikana

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
480
Reaction score
413
Wandugu wajasiriamali wenzangu,baada ya kuvuna mazao yangu,napenda uwasilisha kwenu sasa mchele super magugu unapatikana kwa wingi,mimi mwenyewe nnao hauna dalali.
Mahali mzigo ulipo nimagugu.
Ni super haijachanganywa.
Bei ni poa 1600 kwa kilo.anayetaka ani PM
mzigo ni mkubwa sana kuna zaidi ya tani kumi.
 

maisha ya shakukubali tanzanite hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…