Mchele Umeingia Chuwa

sjaelewa lolote hapa, fafanua sasa

Nilivyoelewa mimi ni kwamba wanawake wote wamejisetiri kwa tamaduni za Kiarabu isipokuwa huyo mmoja aliyeacha kichwa wazi ndiye anaonekana kama chuya (but kaandika chuwa).
 
Usijali kiswahili sahihi ni Chuwa!
 
Nilivyoelewa mimi ni kwamba wanawake wote wamejisetiri kwa tamaduni za Kiarabu isipokuwa huyo mmoja aliyeacha kichwa wazi ndiye anaonekana kama chuya (but kaandika chuwa).

Amevaa kulingana na mila zake. But, ndiye mfadhiri wao
 
Aibu jimama zima mabega nje.Huyu hata bungeni kwa Sitta angefukuzwa
 
sipati picha alivyokuwa anajishtukia nahisi alitamani hiyo event iishe asepe zake.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…