mchele Super
New Member
- Jul 1, 2026
- 3
- 1
Huyu atakuwa kalimia ikule, mtangimboleNimeishi Nyandeo (Mkamba), Ifakara, Mang'ula, Kiberege, Kisawasawa, Mofu, Kisegese na Mbingu miaka mingi iliyopita.
Mara nyingi mchele super ulipatikana kwenye yale maeneo yenye mashamba yanayopata maji mengi (mpunga wake hupandwa kwa kupandikiza) ukilinganisha na yale mashamba ya nchi (ambayo mpunga wake hupandwa kwa kumwaga mbegu shambani) na mchele wake hukosa ubora unaotakiwa.
Umelimia wapi Sheikh! Bonde la Mto Kilombero ni kubwa.
Mimi sijalima mimi nimeanza kununua mpunga Itongoa maeneo ya Kichangani na isagoShukrani sana Kaka
Nakuuliza mkuu ulianza kwa mtaji wq kiasi gani tafadhali share uzoefuBISMILLAHIR RAHMANIR RAHIIM
Habari wana JamiiForums,
Natafuta mnunuzi wa jumla au mshirika wa biashara ya mchele.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo kutoka Bonde la Mto Kilombero, Morogoro. Kwa sasa nina gunia 30 za mpunga tayari ghalani tunaweza kupata mchele mwingi zaidi INSHA ALLAH na lengo langu ni kujenga ushirikiano wa muda mrefu na wanunuzi au wasambazaji wa mchele.
NATARAJIA TUFANYE BIASHARA SOKO LIKIWA VIZURI ZAIDI KUANZIA NOVEMBER
Mpunga niliweka stock tayari ni mbegu ndefu zaidi ya 95% ni mbegu ndefu, ikiwemo Mbawa Mbili na Kalimata, huku Sarro 5 ikiwa kwa kiwango kidogo. Hivyo tutegemee kupata mchele wenye ubora mzuri, nafaka ndefu na unaokidhi mahitaji ya soko.
Ninatafuta:
- Mnunuzi wa jumla wa mpunga au mchele.
- Wakala au msambazaji wa mchele.
- Mshirika wa biashara mwenye masoko ya uhakika, hasa Dar es Salaam.
Nipo tayari kujenga ushirika wa biashara, namna ya usafirishaji na ushirikiano wa muda mrefu wenye manufaa kwa pande zote.
Kama una interest au unafahamu mtu anayehitaji mchele wa ubora mzuri, tafadhali nitumie DM.
Asanteni sana, na Mwenyezi Mungu awabariki.
Ulianza na kiasi gani na gunia unanua kwa kiasi gani na unauza kwa kiasi ganiMimi sijalima mimi nimeanza kununua mpunga Itongoa maeneo ya Kichangani na isago
Nimenunua magunia mbawa mbili na kalimata
Nataka kuanza biashara hii
Naomba ufafanuzi kidogo mchele unaopatikana morogoro na unaopatikana morogoro upi una biashara nzuri kwa kupeta Dar?kama hutojali nisadie taarifa naitaka hii biashara na gunia unaza bei gani unanunua bei ganiNimeishi Nyandeo (Mkamba), Ifakara, Mang'ula, Kiberege, Kisawasawa, Mofu, Kisegese na Mbingu miaka mingi iliyopita.
Mara nyingi mchele super ulipatikana kwenye yale maeneo yenye mashamba yanayopata maji mengi (mpunga wake hupandwa kwa kupandikiza) ukilinganisha na yale mashamba ya nchi (ambayo mpunga wake hupandwa kwa kumwaga mbegu shambani) na mchele wake hukosa ubora unaotakiwa.
Umelimia wapi Sheikh! Bonde la Mto Kilombero ni kubwa.
Ulishapata masoko ya uhakikaBISMILLAHIR RAHMANIR RAHIIM
Habari wana JamiiForums,
Natafuta mnunuzi wa jumla au mshirika wa biashara ya mchele.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo kutoka Bonde la Mto Kilombero, Morogoro. Kwa sasa nina gunia 30 za mpunga tayari ghalani tunaweza kupata mchele mwingi zaidi INSHA ALLAH na lengo langu ni kujenga ushirikiano wa muda mrefu na wanunuzi au wasambazaji wa mchele.
NATARAJIA TUFANYE BIASHARA SOKO LIKIWA VIZURI ZAIDI KUANZIA NOVEMBER
Mpunga niliweka stock tayari ni mbegu ndefu zaidi ya 95% ni mbegu ndefu, ikiwemo Mbawa Mbili na Kalimata, huku Sarro 5 ikiwa kwa kiwango kidogo. Hivyo tutegemee kupata mchele wenye ubora mzuri, nafaka ndefu na unaokidhi mahitaji ya soko.
Ninatafuta:
- Mnunuzi wa jumla wa mpunga au mchele.
- Wakala au msambazaji wa mchele.
- Mshirika wa biashara mwenye masoko ya uhakika, hasa Dar es Salaam.
Nipo tayari kujenga ushirika wa biashara, namna ya usafirishaji na ushirikiano wa muda mrefu wenye manufaa kwa pande zote.
Kama una interest au unafahamu mtu anayehitaji mchele wa ubora mzuri, tafadhali nitumie DM.
Asanteni sana, na Mwenyezi Mungu awabariki.
Mjomba, umerudia Morogoro mara mbili. Kiufupi ninachofahamu ni kwamba mchele unatofautiana kulingana na mbegu na eneo unapolimwa. Mfano mpunga uliolimwa kwenye shamba la umwagiliaji una tofautiana ubora na ule uliolimwa kwenye shamba kavu.Naomba ufafanuzi kidogo mchele unaopatikana morogoro na unaopatikana morogoro upi una biashara nzuri kwa kupeta Dar?kama hutojali nisadie taarifa naitaka hii biashara na gunia unaza bei gani unanunua bei gani