ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,797
- 60,635
Kama kweli apumzike Kwa amaniMchekeshaji pembe afariki dunia alasiri ya leo jijini dar es salaam.taarifa zimethibitishwa na wasanii wenzake1
Mi nawachanganya na yule anapenda kusema mwe mwe mwe
Asee. Apumzike kwa amani. Kwa wakati wao kama KAOLE SANAA GROUP ! walitupa burudani kwa hakika , siyo maigizo au sinema za wakati huu ni mambo ya mapenzi tu.
Yule ni mchizi wake marehemu, anaitwa SengaMi nawachanganya na yule anapenda kusema mwe mwe mwe