JK kakubeba kwa mbeleko hadi china kakutafutia mkopo wa dola billioni, ili uje utujengee nyumba sasa badala ya kujenga umeanza semina elekezi na akina lembeli, ulikuwa hongkong juzi africa ya kusini mala doha sasa mko brunei sijui Qater, hao akina lembeli ubunge ulishakwisha huko kote unafanyanao nini? nilitegemea kukuona una sign mikataba na wakandarasi kuanza ujenzi maramoja.
Kiwanja kawe ulishapewa, fedha unazo, michoro unayo sasa tatizo liko wapi? kama huwezi kudeliver utoke waje wenye huo uwezo. Sasa nakubaliana na Zitto kuwa uwezo wako wa kazi ni mdogo, leo nimeona ITV mko sijui nchi gani huko uarabuni haya munashangaa magorofa tu hamkuwa na mwenyeji hata mmoja, kujifunza gani bila kupata maelezo kutoka kwa mwenyeji.