mara mnakuja kama watoa ushauri kumbe hamna lolote miccm tu kwenda kulee
Unakilimbitwa wewe na wenzio wa Lumumba. unafikiri kuwa mbunge na mwanachama kwa hisani ya mahakama na Lumumba kutabadilisha msimamo wa viongozi, wananchama na wapenzi wa CDM?... cowards...
Foolish people never know what treasures they have, until when they've lost it!.Unayo haki ya kusema mi CCM lakini waliokuwa mahakamani ni wanachama wa CDM hilo halina swali japo mnajaribu kuupotosha ukweli kwa kusingizia oooooh wamekodiwa na wanashabikia Mbowe hawajakodiwa... ukitaka ukweli jaribu kucheki hata kwenye FB Dr. Slaa ana FOLLOWERS 10000 na... lakini ZZK ana Folllowers 36000 na.... Je,hii haitoshi kujua Kiongozi wa kweli CDM ni nani.... Je, hii haitoshi kujua CDM inasafiria nyota ya nani????!!! au unabisha????
Foolish people never know what treasures they have, until when they've lost it!.
Chadema will never be the same again!, na humu jukwaani baadhi wanaoitetea na kuutetea ukosefu wa busara wa CC yake, ni mijitu mijinga ya ajabu kabisa yanayo tetea ujinga!, mengi ni madebe matupu na vichwa maji kabisa!.
Ndani ya CC ya Chadema, kuna wenye busara watatu, Prof. Mwesiga Beregu, Prof. Safari na Victor Kimesera, I wish kuusikia msimamo wa hawa ili kujua kama bado kuna hata chembe ya busara vinginevyo, kwenye kigezo cha busara I'm very sorry to say Chadema ni bure kabisa !
Pasco.
Hunu kumbukumbu au unajitoa faham ivi hujui kama huyu jaji alio mpa haki zzk ndio jaji aliompa haki Lema vipi leo kwa zzk iwe ni limumba kwa Lema iwe mahakama kuwa mwerevu ww acha ujinga wa padri slaa na mtei
Unayo haki ya kusema mi CCM lakini waliokuwa mahakamani ni wanachama wa CDM hilo halina swali japo mnajaribu kuupotosha ukweli kwa kusingizia oooooh wamekodiwa na wanashabikia Mbowe hawajakodiwa... ukitaka ukweli jaribu kucheki hata kwenye FB Dr. Slaa ana FOLLOWERS 10000 na... lakini ZZK ana Folllowers 36000 na.... Je,hii haitoshi kujua Kiongozi wa kweli CDM ni nani.... Je, hii haitoshi kujua CDM inasafiria nyota ya nani????!!! au unabisha????
Foolish people never know what treasures they have, until when they've lost it!.
Chadema will never be the same again!, na humu jukwaani baadhi wanaoitetea na kuutetea ukosefu wa busara wa CC yake, ni mijitu mijinga ya ajabu kabisa yanayo tetea ujinga!, mengi ni madebe matupu na vichwa maji kabisa!.
Ndani ya CC ya Chadema, kuna wenye busara watatu, Prof. Mwesiga Beregu, Prof. Safari na Victor Kimesera, I wish kuusikia msimamo wa hawa ili kujua kama bado kuna hata chembe ya busara vinginevyo, kwenye kigezo cha busara I'm very sorry to say Chadema ni bure kabisa !
Pasco.
Mkuu Pasco, na mimi niweke humo humo kwenye kundi la wajinga wa ajabu wanaotetea ujinga! Pamoja na kutokuwa mwanachama naikubali hatua ya busara iliyochukuliwa na CC ya Chadema na hadi dakika hii nina imani kuwa mambo yanakwenda kama yalivyotegemewa. Ningeshangaa sana kama maamuzi ya mahakama yangekuwa tofauti na yalivyotolewa na Jaji na kusema kweli ningesikitika kiasi. Niliwahi kuandika humu kuhusu hukumu yoyote ile ya mahakama; nilisema hivi, hukumu chanya ungerahisisha maamuzi magumu na hukumu hasi ungechelewesha maamuzi rahisi. Sio wengi wanaoweza kulielewa hili...ngoja sisi tuendelee kutetea ujinga wetu.Foolish people never know what treasures they have, until when they've lost it!.
Chadema will never be the same again!, na humu jukwaani baadhi wanaoitetea na kuutetea ukosefu wa busara wa CC yake, ni mijitu mijinga ya ajabu kabisa yanayo tetea ujinga!, mengi ni madebe matupu na vichwa maji kabisa!.
ZITTO, TISS,CCM na CUF lakini hawawezi kushinda kimbunga chake watakiona wananchi wameshawajua ndio maana unashangaa stamico inachomwa mot ,mahakama kwisha wale wote wanaodumaza demokrasia ya wananchi kwa kutumia mamluki na wazandiki wanatumbukiza nchi kwenye lindi la damu hakuna atakaye kubali CCM iendelee na ghiriba za kusambaratisha vyama
We Mag3 kila nikisoma post zako naona unaharisha tu huna jipya kajipange upya kamanda acha chuki zako hazitakusaidia chochote.Mkuu Pasco, na mimi niweke humo humo kwenye kundi la wajinga wa ajabu wanaotetea ujinga! Pamoja na kutokuwa mwanachama naikubali hatua ya busara iliyochukuliwa na CC ya Chadema na hadi dakika hii nina imani kuwa mambo yanakwenda kama yalivyotegemewa. Ningeshangaa sana kama maamuzi ya mahakama yangekuwa tofauti na yalivyotolewa na Jaji na kusema kweli ningesikitika kiasi. Niliwahi kuandika humu kuhusu hukumu yoyote ile ya mahakama; nilisema hivi, hukumu chanya ungerahisisha maamuzi magumu na hukumu hasi ungechelewesha maamuzi rahisi. Sio wengi wanaoweza kulielewa hili...ngoja sisi tuendelee kutetea ujinga wetu.
na ufipa itakuwa imelumumbishwa!.wachawi wa chadema hawa hapa mtei.mbowe.lema.ndesamburo.slaa hawa wakiondoka chadema ina shika dola
ZITTO, TISS,CCM na CUF lakini hawawezi kushinda kimbunga chake watakiona wananchi wameshawajua ndio maana unashangaa stamico inachomwa mot ,mahakama kwisha wale wote wanaodumaza demokrasia ya wananchi kwa kutumia mamluki na wazandiki wanatumbukiza nchi kwenye lindi la damu hakuna atakaye kubali CCM iendelee na ghiriba za kusambaratisha vyama
Wewe na Zitto huwa mnapenda kuutumia ule msemo wa shida mwanamandanda kulala na njaa kupenda! Takwimu za facebook unatuletea kwenye siasa? Hata Mr Bean anawashabiki kibao! I wonder Jamii ya watanzania ambao 85% hawana maji, hawana, umeme, hawawezi kumudu mlo mmoja kwa siku wanawezaje kupata access ya internet... Hivi kweli wewe ni mwandishi ama kanjanja kama wale wa uhuru?...How come unajishushia heshima hivi? Ilborians hakunaga wajinga wa aina yako ... "tulijifunza kujitegemea kwa kila kitu ndiyo maana tunasifika mpaka leo"! sifa ya kujikomba ni wewe na Nchemba tu! Hivi kweli Pasco unawezaje kuipigia debe CCM yenye kufanya ujangili kwa Raia na Wanyama? CCM yenye Kuuza na kuingia mikataba ya kudhulumu mali za Watanzania? CCM iliyoshindwa kuwapatia wananchi maji, elimu, huduma za afya, barabara, reli, ndege, ajira, amani, utulivu na mshikamano?...Mnaendekeza siasa za kuwabagua watu wa kaskazini wakati mmesomea huko, mmefundwa huko, mmeoa huko, mmefundishwa maisha huko? Sasa hivi Kaskazini mnayoibagua kwa misingi ya ukabila na dini tayari Allah S.W.T kawaongezea Uranium, Mafuta na Gesi! mbali na mbuga za Wanyama, Milima mirefu, bandari, maziwa na zaidi ya yote WATU WENYE AKILI...Pasco et kumbukeni kuwa "mchimba kisima siku zote huingia mwenyewe" Dhambi hii ya ubaguzi lazima itawarudi mkiwa hai...mark my word...Nguvu za vyombo vya dola wala Mahakama haitafua dafu mbele ya nguvu ya umma!... Badala ya kutumia nguvu kubwa kupigania maslahi ya waalimu, wafanyakazi, wakulima, wafugaji, wavuvi, wafanyabiashara, kukataa kupandishwa kwa bei ya umeme, kukataa rasilimali zetu zisimilikiwe na wageni 100% . Mnatumia mabilioni kuidhoofisha CDM ambayo inapaa kwa uwezo wa Rabuka... Lazima mtambue kuwa kamwe hamtaweza kugeuza mchana kuwa usiku ... kun faya kun...
Inaondoa ukweli kuwa ni mteule wa Rais ambaye ni M/kiti wa CCM? Issue ya Lema ilikuwa plain...mbona ilikuwa geresha tu! Mpendazoe alishindwaje kesi wakati Makongoro alikutwa na vidhibiti muhimu? Aeshi alishinda vipi rufaa yake? Dr. Kafumu waliokuwa wanagawa mahindi in exchange na shahada ya kupigia kura alishinda vipi?...Msijitoe ufahamu kuwa hamjui kuwa CCM inawatumia masikini kama mtaji wa kuendelea kudhulumu mali za watanzania... Mazuzu yako bize kushangilia usaliti wa Zitto et al wanasahau kuandamana kupinga kupanda kwa gharama za umeme na maisha...Kweli CCm ya Mazombie...