Mchawi Mwanamke tajiri wa Kenya

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,800
34,189
Mchawi Tajiri wa kenya.jpg

Ushawahi kukutana na mchawi tajiri?

Leo nakujulisha kuhusu mchawi wa kwanza aliyejitokeza kutangaza utajiri wake kwa jina ni Annah Mutheu kutoka Machakos Kenya.

Annah ana nyumba ya thamani ya shilingi milioni 40 za Kenya na magari manne ya kifahari,ana malori matatu ya biashara na matatu 3 za huduma ya umma pamoja na kituo cha kuuza mafuta na nyumba kadhaa za kukodi.

Akiwa na umri 39 Annah huitisha shilingi elfu 1 kumuona tu kabla tiba na kwa maelezo yake anawafanyia dawa wateja zaidi ya 60 kwa siku.

Anasema alizaliwa na uchawi ndani yake na si ukweli kwamba wachawi wote ni masikini .

chanzo.

CRI Kiswahili

kumbe kazi ya uchawi inalipa kazi kweli ipo hapo.
 
Hahaha,kazi kweli
Halafu sijui kwanini wachawi wengi wa kike huwa wanene
Maana mie kila mkoa nikienda nikionyeshwa mchawi wa kike anakuwa Mnene
Inasadikika nyama ya binadamu ina mafuta mengi mno. Unategemea nini sasa ikiwa mlo wao mkuu ni nyama ya binadamu wenzao.
 
Back
Top Bottom