Mchawi hatari anayesumbua jiji la Mwanza.

Mkuu Moja wa wachawi kanda ya ziwa ni wale wanaotoka kanda ya ziwa katika ukanda wa Mkoa wa Bariad hasa hasa pale Gamboshi. Gamboshi kuna majembe pale siyo ya kuchezea. Hata MZEE wa vijisenti anajivunia haya majembe. Wanateam tao kubwa sana. Ukizubaa wabakumaliza kweli. Niliwahi kuishi miezi miwili huko.
 
Dadadeki niko hapa CBE karibu kabisa na hayo mataa..ngoja nikamchek afu niseme nae maana kuna mtu ananizengua,nataka huyo mtu akojoe vidagaa.
Akikojoa vidagaa atakuwa anavila tuu chamsingi akojoe kokoto tuu
 
Wakuu hii siyo story ya kufikirika hata kidogo, bali ni tukio la ukweli kabisa.
Siwezi kumtaja jina wala kuweka picha yake humu kutokana na maadili ya uandishi, endapo nikifanya hivyo, anaweza kuishtaki JF Kwa kumchafua na hasa ikizingatiwa kuwa, serikali ya Tanzania haiamini uchawi na wala hakuna sheria inayotambua uwepo wa uchawi Tanzania.
Ukimwona huwezi kumdhania hata kidogo, ni mzee wa makamo hivi, mweusi, mwembamba kiasi, anapenda Sana kuvaa kofia, kabila lake ni msukuma na pia ni mwenyeji wa Bariadi ktk kijiji cha Gamboshi.
Kazi yake kubwa ni kuuza vitabu, huwa anauzia Mwanza mjini mkabala na mataa ya Nyerere road.
Yupo serious muda wote, huwezi kumwona anacheka wala kutabasamu, yeye siyo mwandishi ila ni muuzaji tu wa vitabu, na ana urafiki mkubwa Sana na mwanasiasa mmoja wa chama tawala, na inadaiwa ndo huwa anampatia dawa za kichawi.
Mwanasiasa huyo miaka ya nyuma Sana aliwahi kusemekana kwamba aliweka dawa bungeni.
Mzee huyo anajiamini kupindukia utadhani ana uwezo wa kuumba binadamu.
Ameshadhulumu mamia ya watu wanaompelekea kuuza vitabu na ukimfuatilia Sana, anakuambia "live " kuwa uachane naye maana utakufa.
Na ukishindana naye unakufa kweli.
Eneo analoishi watu huwa hawalali usiku, inasemekana wanaolala vizuri ni wacha Mungu tu.
Keshaua makumi ya watu kichawi.
Na inadaiwa kuwa yeye ndo mwenyekiti wa Wachawi kanda nzima ya ziwa.
Cha ajabu inasemekana kuwa ana Elimu nzuri tu ila sasa ndo hivyo keshakuwa mchawi
hatari.
Taarifa za uhakika ni kwamba, kila ijumaa usiku huwa wanazungukia hospital zote na kisha kufanya yao.
We umejuaje kama ni mchawi ongeza nyama utuaminishe.....
Wahenga walisema "Waarabu wa pemba wajuana kwa vilembaa...." au na ww............!!!😉😉
 
Kwa huyo mtu sijui.....ila hicho kijiji cha Gamboshi nasikia kinasifika kwa wachawi balaa...Dah
 
sasa ndo umeandika nini hapa? kwani kutotambua uchawi kunamaanisha hakuna wachawi?? huko shuleni sijui mnasomea ujinga

Kama hawatambui wachawi kwanini viongozi hao hao wanawatambua hao wachawi pale wanapohitaji huduma zao? Jiulize hivyo, ndipo utaelewa nina maana gani.
 
Back
Top Bottom