storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,511
- 1,844
Wanajamvi.
Leo nimestuka sa9 usiku, sina hakika kama nilikua katika ndoto ama la, ila niliona kama kivuli cha muundo wa mtu kikitokomea kupitia dirishani, lakini nikahisi ni mawenge tu, coz si mara ya kwanza.
Nikapatwa na maswali mengi sana, nikaanza kufikiri jins wachawi wananvyokamatwa.....
Wengine wanaanguka kwenye mabati....
Wengine wanaangukia makanisani...
Wengine nimeskia wakikutwa ktk pembe(angle) za nyumba...
Kiukweli binafsi siamini hii makitu, lakini tuswali twaangu twa msingi
Je, kuna mchawi(mwanga) ashawahi kukamatwa akiwa ndani(chumbani) kwa mtu.....???
Unadhani ukikutana nae kanasa pembeni ya kitanda chako inakuaje?
Aione @mshana jr na wazee wa mauzauza