kumezuka tabia ya kusemana katika kipindi cha MCHARUKO kinachorushwa hewani na tbc fm. Watu hususan wanawake wanakitumia kupakaziana mpaka wengine kufikishana mahakamani, na kipindi kila kukicha kinazidisha makali. Kinakoelekea kinapoteza sifa ya kubeba bendera ya tbc...au ndo role ya kurekebisha tabia hiyo?
HAHAHAAAA, KUMBEEE, LOH.
nasikiaga mitaani 'aah, yule demu MCHARUKO kinoma', loh kumbe ndio maanake.
asee hivi sikuijibu ile textmsg yako?, basi itakua pending.
nipo mkuu mambo yaliingiliana kikazi nikatoswa ruhusa!.