Mchapio wa Ndugai Bungeni.Ulisikia?

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,240
4,262
Mheshimiwa mbunge wa Arusha Godbless Lema akichangia hoja alinukuu kwa kirefu mistari ya biblia. Mistari hiyo ikamkuna mheshimiwa Simbachawene ambaye naye alinukuu mstari kwenye biblia.Lema kaona asinyamaze ila ajibu mistari ya simbachawene.

Ndipo spika Ndugai kwa kushangaa akasema: "Waheshimiwa, naona mnageuza kanisa...... mnageuza bunge kuwa kanisa.
 
Bunge kila linapofunguliwa linafunguliwa kwa sala/dua.

Lishakuwa kanisa/msikiti kitambo tu.
 
Tafsiri ya neno Kanisa ama Msikiti..
Maana yake ni nyumba ya IBADA...

Kanisani kutakuwa na Kiongozi, akiwa mbele...MSALABA ama KINYAGO cha Yesu na waumini wakiabudu...

Msikitini kuna kitu kinaitwa QIBLA....atasimama Kiongozi (imamu) na kufuatiwa na Waumini (Maamuma) kwa lengo la kuabudu..

KATIKA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO swala la utii na kuabudu liko wazi kabisa..(Tazama pia mabunge mengine) kuna kitu (wengine) wanaita NGAO...huwa inaingizwa na ASKARI wa Bunge na watu wote kutakiwa kusimama..tazama pia heshima na utii anaopewa SPIKA...

Naomba utafute maana halisi ya neno ABUDU ama IBADA...
 
Una maana gani mdau. Kwa nini unaingia deep kutafsiri misikiti na kanisa na kuhitaji tafakari ya abudu na ibada?
 
Back
Top Bottom