mchango wenu wa mawazo jamani....

Nimependa maelezo yako, namba 4 zaidi. But ukifanya utafiti vyema hii biashaara ni nzuri sana ukianza hata kwa eneo ulilopo mfano kwa wafanyakazi wenzio. Kwa sababu watu wana shida sana ya ku access mikopo. Pia kwa mipango ya badae hapo biashara inapokuwa lazima mhusika afahamu vyema hatua za kupata vibali.
 
Back
Top Bottom