kijanaubungo
Member
- Jan 23, 2013
- 6
- 0
Wewe ni mwanaume, unagundua kua mwanamke wako kuna vitu akwambii ukweli, hii baada ya kugundua kua, aliyekua mpenz wake ambaye alimkubali kipindi cha nyuma lakini wakati uko nae, lakini baadaye mkayamaliza, sasa unagundua kua anamtafutia kazi, lakini baada ya kumuuliza anakwambia kitu tofauti unapomuuliza una uhakika anakwambia kua sina uhakika, alafu anakwambia kuna vitu awez kukwambia coz amjaoana, ungefanyaje kama ni wewe