Una mvunja moyo mleta mada sasa..Sijui ni kwanini,but hata mimi sikuwahi kuvutiwa na mwanaume niliyemzidi,hata ikitokea tumeringana aisee uhusiano huo haukuwahi kudumu...
Simvunji moyo,ni venye mimi nionavyo kwa upande wangu,. yeye kama yuko happy baaasi watu hata tumpigie vuvuzela haisaidii as long as yeye yuko okay i think ni 👍..Una mvunja moyo mleta mada sasa..