Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
Mwenye sms au quote nzuli kwaajili ya rafiki wa kike au kiume, weka hapa tafadhali.
Hubby ile iPhone 6 utaniletea sa ngapi?.
Honey mi mwenzako natakaa...!
babyyyyy nipe basi hata ka elfu hamcn ka vochaaa
Wataka nini bebby!
Km Uko serius..gugo
Hubby ile iPhone 6 utaniletea sa ngapi?.
Mi mwenzako nataka tamu!
Unawasiliana na nani beby
Pipi alamba et ee
nataka niwasiliane na mom babyy
aah! ah! sioo....