Mchango wa mganga umeshakamilika

hamis77

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,642
19,018
Nilileta uzi hapa wiki iliyopita Kuhusu Yanga kuchangisha mchango wa mganga kutoka visiwani.

Tayari mchango umekamilika, na taratibu naambiwa hapa zimeshafanyika, Simba kesho kazi anayo

Binafsi siamini katika Mambo ya uganga na ushirikina, naamini katika mbinu, uwekezaji, na wachezaji wazuri.

Huwa napita jagwan pale Kama mshabiki wa Yanga, nakaa pale na wazee kina mzee mpili, mzee wa Moro,n.k

Daftari la mchango wa mganga limetembea karibu Mwez mzima, Yanga walianza kujipanga na hii mechi Mara tu baada ya mechi dhidi ya coast union .

Huyu mganga kwa TAARIFA zilizopo anatokea visiwani, hapa ndipo nikaunganisha dot na TAARIFA ya @GENTANCIMYNE

Huyu mganga naambiwa amekuwa akiwasaidia Yanga kwenye kila derby ,hata ile ya Mwanza Ilikuwa Simba afe 3-0, wazee wa Simba wakawahi kwa mganga wao zikapunguzwa hadi kufikia goli 1-0

Wazee wa Simba kabla ya mechi walikubali hii mechi tumepoteza na hata Mwanza hawakwenda.

Huku upande wa Yanga mganga aliwalaumu wamechelewa Sana kumpa pesa, hivyo Safari hii maandalizi yalianza mapema

Nataarifiwa hapa Huenda Manula na Kapombe wakaukosa mchezo

Hadi Sasa pale mitaa ya jangwani Hadi jion TAARIFA kutoka kwa mganga zitakuja Simba atakufa ngapi.

Najiandaa nipite jion pale HQ nipate TAARIFA .
 
Simba uzungu mwingi,wakati darby inachezwaga nje na inajulikana mapema nani mbabe.
Upo sahihi ndugu, Simba wanaleta uzungu Sana , derby miaka yote inachezwaga njee ya uwanja ,kesho nikukamilisha ratiba tu
 
Match za Simba na Yanga huwa zina pattern maalumu na kwa mtu alie makini kufatilia hizo pattern ni rahisi sana kutabiri.

Hakuna namna yoyote Yanga anaweza kukiepuka hiki kikombe (kipigo) cha kesho.

Screenshot kesho uje uniumbue
 
type Hizo pattern
 
acha kukariri... kwanza ujue tu hata ukiacha suala la waganga, siku hizi hizi timu zina dhaminiwa na makampuni mawili tofaut ya betting... so tunaangalia mzigo uliongia... kama unatosha lolote laweza tokea kufungwa ama kushinda... mpira biashara
 
Nilileta uzi hapa wiki iliyopita Kuhusu Yanga kuchangisha mchango wa mganga kutoka visiwani.

Tayari mchango umekamilika, na taratibu naambiwa hapa zimeshafanyika, Simba kesho kazi anayo

Binafsi siamini katika Mambo ya uganga na ushirikina, naamini katika mbinu, uwekezaji, na wachezaji wazuri.

Huwa napita jagwan pale Kama mshabiki wa Yanga, nakaa pale na wazee kina mzee mpili, mzee wa Moro,n.k

Daftari la mchango wa mganga limetembea karibu Mwez mzima, Yanga walianza kujipanga na hii mechi Mara tu baada ya mechi dhidi ya coast union .

Huyu mganga kwa TAARIFA zilizopo anatokea visiwani, hapa ndipo nikaunganisha dot na TAARIFA ya @GENTANCIMYNE

Huyu mganga naambiwa amekuwa akiwasaidia Yanga kwenye kila derby ,hata ile ya Mwanza Ilikuwa Simba afe 3-0, wazee wa Simba wakawahi kwa mganga wao zikapunguzwa hadi kufikia goli 1-0

Wazee wa Simba kabla ya mechi walikubali hii mechi tumepoteza na hata Mwanza hawakwenda.

Huku upande wa Yanga mganga aliwalaumu wamechelewa Sana kumpa pesa, hivyo Safari hii maandalizi yalianza mapema

Nataarifiwa hapa Huenda Manula na Kapombe wakaukosa mchezo

Hadi Sasa pale mitaa ya jangwani Hadi jion TAARIFA kutoka kwa mganga zitakuja Simba atakufa ngapi.

Najiandaa nipite jion pale HQ nipate TAARIFA .
YANGA na Simba hakuna tofauti na born town vs Bush stars...
 
Thalatha,tatu, three.3
884460217.jpg
 
acha kukariri... kwanza ujue tu hata ukiacha suala la waganga, siku hizi hizi timu zina dhaminiwa na makampuni mawili tofaut ya betting... so tunaangalia mzigo uliongia... kama unatosha lolote laweza tokea kufungwa ama kufungwa... mpira biashara

Tukutane kesho saw 3 usiku
 
Niliamini yanga wameshindikana kwenye uchawi afrika mashariki kipindi kile simba iko vizuri kocha mwinyi zahera simba ilikosa clear chance 17 na beno kakolanya akawa man of the match ndo chanzo cha kusajiliwa simba huku kocha akiwa uchebe hapo ndo nikasema yanga ni next level kwenye uchawi.
 
Back
Top Bottom