W wa home JF-Expert Member Mar 16, 2012 233 41 Apr 2, 2012 #1 wadau nataka kusafiri kwenda mwanza, ni basi ipi ipo makini ktk safari ya njia iyo?.
bornagain JF-Expert Member Jan 25, 2012 3,383 1,354 Apr 2, 2012 #2 Chukua basi la Shabaha ndo la ukweli