Siwezi kutoa hela yangu kwa huyu mkuu wa wauaji. Tunaenda hospitali na mgonjwa wetu mahututi wanatudharau,imebidi mgonjwa tumrudishe nyumbani, anasubiri tu kufa sasa. Kama kugoma watafute njia ya kuigomea serikali sio sisi tuliokatwa kodi ili kuwalipia masomo pale MUHAS..
ARV (MEANS ANTI RETRO VIRUS) hizi ni dawa za kupunguza makali ya Virusi vya Ukimwi. mkuu umekera naomba nikujibu yafuatayo
1. Daktari kama wewe anapigania haki yake kutoka serikarini, kama wewe na huyo nduguyo mmekuwa weak kwenye kufuatilia madai yenu ya matibabu kwa serikari yenu mlioiajiri shauri yenu, msitake madaktari wawe waoga kama wewe
2. Death of your relative( if it will happen) is due to your weakness for you as a Tanzanian to rise and claim for your right, sio uzembe wa Dr wewe hujamuajili Dr bali ni Serikari.
3. Dr am,eamua kusoma hiyo miaka 6 ili kufanya kazi yake na kupata kipato, huweza ukataka awe punda kwa sababu maesomeshwa na gorv, nieleze ni9 watu mafisdi wangapi serikarini waniba na walisomeshwa na gorv
4. Ma Dr ni watu brave, clever na wangeweza kusoma profesiion yeyote ile since waliscore div 1, kuwasomesha ni lazima cause ni haki yao, sasa wanasoma kufocus kuwahudumia wa Tz sio wazembe kama wewe na nduguyo mgonjwa.
5. MWISHO MPEPOLE NDUGU YAKO KAMA ANATUMIA ARV
Raia Tz my msg "Anayemlipa mpiga zumari ndiyo mchagua wimbo"