Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
2. georgeallen.........$10WanaJF naomba tuweke tofauti pembeni
Mimi professional yangu ni kutoa huduma ya afya kwa jamii
hiki kitendo cha serikali kufanya unyama kwa mwantahaluma mwanzangu
kimeniuma sana na sasahivi anapata mateso sana
MImi kama raia bila kusukumwa na mtu nitamchangia Dr. Ulimboka Tsh 50000
kwa ajili ya kusadia matibabu yake.
Naomba wanaJF wenye moyo ulioguswa na haya mateso atoe kwa moyo tusadia Dr Uli....
Naomba @Max Melo au admin wa JF aweke Namba yake hapa ya Mpesa nitatuma mchango wangu kesho
Narudia tena huu ni uhuni na unyama katika nchi yetu
MIMi naanza wewe je?
1. Dr Kupeng'e.......Tsh50,000
2........................................
3........................................
4,.........................................
Kama huwezi kaa kimya, usichangie hata mada. U.n.a..f...i..r...w...a.
Lugha hii haitarajiwi kutoka kwa Great Thinker. There is always a better way to express a great thinker's discontent.
Kumbe MOI kuna ICU ya kimataifa.
Mchango wa nini na anatibiwa bure?
Siwezi kutoa hela yangu kwa huyu mkuu wa wauaji. Tunaenda hospitali na mgonjwa wetu mahututi wanatudharau,imebidi mgonjwa tumrudishe nyumbani, anasubiri tu kufa sasa. Kama kugoma watafute njia ya kuigomea serikali sio sisi tuliokatwa kodi ili kuwalipia masomo pale MUHAS..

I wish siku moja polisi wagome wiki moja tu na dhani tutaheshimana kuwa kila mtu ni muhimu kwenye kazi yake. Ugua pole mkuu lakini pia ujue huduma unayopata hapo hata wale uliowagomea wanaihitaji kama wewe unavyoihitaji bila kujali kama gvt imetekeleza mapendekezo yenu,MImi kama raia bila kusukumwa na mtu nitamchangia Dr. Ulimboka Tsh 50000kwa ajili ya kusadia matibabu yake..