Mchango wa HarusiH

Lipa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2014
Posts
229
Reaction score
28
Hivi ni sawa mtu yuko tayari kuoa hana hata cent anatarajia michango ya washkaji..?....Harusi bomba ni ile unaandaa kila kitu unaita tu washkaji kushuhudia na kukupongeza kama wataamua kukupa zawadi...okey.Au mnasemaje wana JF....?
 
watu wengine wasipo changia hawaji ukiwaita......wengine ukiwaambia wachangie lawama na kunung'unika tu...ili mradi binadamu hawana jema...
 
Fungulia mbwa halinogi...
Sana sana utajaza wamasai kwenye disco.
 
we jamaa hata Joti haoni ndani kwa uchekeshaji....hahahahaahahaha......
 
Nashkuru sanailikua inaniumiza kichwa sana....
 
Kuna jamaa yangu anatarajia kufunga ndoa mwezi ujao. Mi nilimwambia afanye kitu simple maana hana pesa ya kutosha. Kinachoendelea ni kwamba mwitikio wa watu kuchangia sio mkubwa kwasababu jamaa huwa hachangii saaaana. Kwasababu mi ndo katibu jamaa ananisumbua kweli kwa nini watu hawachangii hadi naboreka. Ila ukweli ni kwamba hachangiagi sana watu wengine na hajajiandaa vya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…