SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,270
Wapendwa wanajf,
Familia ya Bw na Bi Shieka inafurahi kuwatangazia kwamba vijana wao
Ali na Mali wanatarajia kufunga harusi yao mwezi Agosti 2015.
Wewe ukiwa mwanajf mwenye upendo na ushirikiano unaombwa kutoa mchango
wa ali na mali ili kufanikisha harusi hiyo. Chochote kitapokelewa hatuna makubwa. Asante
Michango iwasilishwe kwa wafuatao ili iwafikie kabla ya 30/7/2015 Dinazarde - 0754334455 Salamander-0654667788 Idd Ninga - 0756990000

Last edited by a moderator: