bwegepeponi
Member
- Sep 16, 2013
- 74
- 13
mkuu hiyo ni zuga tu. Mama anatapa tapa kujisafisha.Wana jf
Binadamu wa kawaida hawezi amini tamaa ya kiwango hiki. Uongozi wa Barbo shule iliyolamba 1.6b za escrow kuendana na maelezo ya Pro Tibaijuka Mwenye shule imetoa fomu za kuomba mchango wa ujenzi wa maabara. Wanafunzi wa hii shule wanapitisha kwetu kuomba mchango
Swali:zile 1.6b zimeisha?
Acheni tamaa. Shame on you!
Kama wewe unapinga ufisadi usichangie hata kumi! watueleze wametumiaje 1.6b??
Ada ya hiyo shule ni Million4 kwa kila mwanafunzi kwa mwaka.
Bado wanaomba michango?
Wana jf
Binadamu wa kawaida hawezi amini tamaa ya kiwango hiki. Uongozi wa Barbo shule iliyolamba 1.6b za escrow kuendana na maelezo ya Pro Tibaijuka Mwenye shule imetoa fomu za kuomba mchango wa ujenzi wa maabara. Wanafunzi wa hii shule wanapitisha kwetu kuomba mchango
Swali:zile 1.6b zimeisha?
Acheni tamaa. Shame on you!
Kama wewe unapinga ufisadi usichangie hata kumi! watueleze wametumiaje 1.6b??
mkuu hiyo ni zuga tu. Mama anatapa tapa kujisafisha.
Watu wanatuchezea akili zetu. Bilion 3 za nin? Hiyo ni pesa kubwa sana. Wanajenga nn? Au wanataka kujenga ikulu shuleni?Kwenye Press Release ya Bodi ya shule walidai wana deni kwenye M-Bank kiasi cha billion 3 kama sikosei kwa hiyo zile 1.6b zililipa sehemu tu ya deni. Bado wanadaiwa kwa hiyo kuomba mchango wa kujenga lab siyo ajabu ( kulingana na maelezo yao)
Kwenye Press Release ya Bodi ya shule walidai wana deni kwenye M-Bank kiasi cha billion 3 kama sikosei kwa hiyo zile 1.6b zililipa sehemu tu ya deni. Bado wanadaiwa kwa hiyo kuomba mchango wa kujenga lab siyo ajabu ( kulingana na maelezo yao)
Wana jf
Binadamu wa kawaida hawezi amini tamaa ya kiwango hiki. Uongozi wa Barbo shule iliyolamba 1.6b za escrow kuendana na maelezo ya Pro Tibaijuka Mwenye shule imetoa fomu za kuomba mchango wa ujenzi wa maabara. Wanafunzi wa hii shule wanapitisha kwetu kuomba mchango
Swali:zile 1.6b zimeisha?
Acheni tamaa. Shame on you!
Kama wewe unapinga ufisadi usichangie hata kumi! watueleze wametumiaje 1.6b??
Hebu wekeni picha ya hiyo shule tuone inafananaje
Ingia hapa kwenye website yao uione hiyo shule
http://www.johatrust.ac.tz/index.php?option=com_content&view=article&id=11&Itemid=107