Mchange awa gumzo Ubunge Kibaha mjini

Mchange awa gumzo Ubunge Kibaha mjini

Mchange alifungua kesi ya kupinga kikiukwa kwa taratibu za uchaguzi Ndani ya Jimbo la kibaha chadema wakashindwa kumuwekea dhamana ya 15m mahakamani.
Chadema wakasababisha Mchange ashindwe kesi.
Waliouza kibaha ni chadema maana aliyeshinda ni mchaga mwenzao anaitwa Koka anatoka kijiji kimoja na ndesamburo na nyumba za wakazi wa Komu na Koka zinatazamana huko kijijini kwao.

Nawapongeza sana CDM...huyu jamaa tulimpigia kura lakini aliuza ushindi...Sasa utamlipiaje gharama za kesi mtu aliyetajirika kwa kuuza imani ya wananchi wa Kibaha mjini..??

Sishangai kwa nini yuko ACT-Wazalendo...kwa ndege wenzake...
 
Back
Top Bottom