Habari chief naomba msaada wa makadrio ya bei ya kujenga chumba kimoja master bedroom sasa hivi kwa mko wetu wa dar,Eneo bunju na ni tambarare
Habari Nzuri Mkuu.
Chumba Kimoja Master Kama Chumba Kimoja Master Mchanganuo wake ni:-
Standard 4m kwa 5m.
Tofali roughly = 1000 , Msingi kozi Nne na juu kozi 10 + 3 juu ya linta.
Mchanga ukinunua Mbawa moja inatosha = 90,000/=
Kokoto Selera moja = 130,000/=
Cement = Max 25 Bags ,Standard mfuko mmoja unajenga tofali 40 hadi 50. = 375,000/=
Nondo = 12 za mkanda 6 na za linta 6 = 300,000/=
Bati = 12 @25k = 300,000/=
Mbao 4x2 =10 na 2 x 2 =16 = 100,000/=
Dirisha + Milango. =Uwezo wako hapo
Gypsum = Boards 6 ,Screw box 1 , Powder = 6 bags ,Emulsion Rangi Ndoo ndogo moja
Wiring+plumbing = Uwezo wako
Rougly andaa 4 hadi 5 inatoka NYUKWA.