Clack-Sniper
Member
- May 16, 2025
- 39
- 75
Ninatamani kupata reference ya wanaotumia Gesi na mafuta kawaida.
Asubuhi kama mawili hadi matatu. Na jioni kama masaa 2 hivi.Unafanya kazi masaa mangapi kwa siku
Hayo mafuta ya 92,000 yanakupa mileage ya kilometa ngapi toka kujaza hiyo full tank mpaka kuisha.Habari wataalamu wa Magari humu ndani.
Hivi karibuni nimetaka kufanya utafiti wa kutumia gari ya Toyota aqua Hybrid kwa ajili ya Bolt, Nafanya part time tu.
kwa siku kama 10 nimepata mapato kama hayo hapa sijaweka gharama za service. Mwenye uzoefu wa kutumia gari ya Gesi na mafuta, kama unaweza kusaidia uzoefu wako.
Je hizi faida hapa ni nzuri au bado hazitoshi kuna kubwa zaidi?
View attachment 3530944
Changamoto za hii Gari, Iko chini so kwenye matuta some how inaburuzika, ila nimeongeza tairi kubwa, some how imepunguza.
Inategemea. Safari za mjini na foleni unaweza pata 600km.Hayo mafuta ya 92,000 yanakupa mileage ya kilometa ngapi toka kujaza hiyo full tank mpaka kuisha.
Ukitoa mafuta katika hizo siku 10. Umepata faida tsh ngapi ya jumla.Inategemea. Safari za mjini na foleni unaweza pata 600km.
Ila safari nje ya mji inaweza kuwa kubwa
Kwa hiyo wanaposema ktk datasheet yake kwamba inaenda 800 KM kwa mjazo mmoja wa full tank ni uongo.Inategemea. Safari za mjini na foleni unaweza pata 600km.
Ila safari nje ya mji inaweza kuwa kubwa
Zile ni hesabu za makadirioKwa hiyo wanaposema ktk datasheet yake kwamba inaenda 800 KM kwa mjazo mmoja wa full tank ni uongo.
Siyo kwa foleni za Dar. Ila ukiwa unaenda safari ambazo hazina foleni hiyo 800km inafikaKwa hiyo wanaposema ktk datasheet yake kwamba inaenda 800 KM kwa mjazo mmoja wa full tank ni uongo.
Hiyo faida inaonekana hapo ni baada ya kutoa mafuta. Na pia ninachagua sana maeneo ya kufanya kazi. Sifanyi maeneo magumu πππUkitoa mafuta katika hizo siku 10. Umepata faida tsh ngapi ya jumla.
Inaenda zaidi ya hapo. Maana full tank 1 aqua inatoka Dar mpaka Nakonde. Na ikiwa na abiria.Kwa hiyo wanaposema ktk datasheet yake kwamba inaenda 800 KM kwa mjazo mmoja wa full tank ni uongo.