Ahsante mkuu nimekuelewa!
Lakini katika kuandika bankable business plan,baadhi ya vipengele vinakuwa ndani ya title moja,kwa mfano; marketing plan...hapa kama nilivyoeleza mwanzo,kuna vpengele viko katika title hii. Pia business description ni title ambayo utaandika jina la biashara,sehemu ilipo,bidhaa,umiliki,aina ya biashara.
Kumbe basi tunashauri,unapoandika plan ni vizuri ukaweka title kama zingine ulizozitaja,mfano financial plan....hii ni title inayojitegemea!
Hebu twende taratibu,tutafika tu na nakaribisha michango na maswali pia
Shukran sans mzee, hili ni darasa halisi, mie taratibu nimeanza kutengeneza b.plan yagu
Wewe je????
Shukrani sana. Nimelipenda sana darasa. I will practice.
Ninge Andika Ama Ningejifunza Sasa Sina Hata Mia, Sina Hata Shamba. Nina Businessplan Nzuri Na Nina Penda Maendeleo Japo Nina Miaka 19, Sijui Mwanishaurije?
Habari.....ni kweli kabisa hili darasa ni zuri but kikubwa ni kujaribu kuandika japo kwa biashara ndogo tu ambayo analysis yake haitakuwa kubwa sana!
Business plan itakusaidia kupanga namna gani ya kupata kipato na jinsi gani upunguze matumizi ili kuendelea kubakia kwenye soko
Habari......
Naomba nikukumbushe,...ujuzi hauna mpaka!kikubwa ni kuelewa matarajio yako na unahitaji nini kwa wakati gani. Hiyo miaka ni ya utu uzima na ni namba tu. Nakuomba ujifunze
Hata Mimi Nililiona Hilo, Na Ndio Maana Mwakani Nataka Kuanza Biashara Ikiwemo Ya Kilimo Cha Alizeti Singida. Sasa Sijui Ntapata Vp Fedha Za Kuanzia. Ntakuandikia Business Plan Ntakutumia Mkuu Uone Uwezo Wangu Wa Kufikiri!
Ninge Andika Ama Ningejifunza Sasa Sina Hata Mia, Sina Hata Shamba. Nina Businessplan Nzuri Na Nina Penda Maendeleo Japo Nina Miaka 19, Sijui Mwanishaurije?
Mkuu naomba ututumie mfano wa business plan, I thnk hvyo ndo tutaelewa zaidi..
Mkuu naomba ututumie mfano wa business plan, I thnk hvyo ndo tutaelewa zaidi..
Business plan ni kitu kizuri kama jina linavoonesha......a plan...yani mpango au mpangilio wa biashara! Naomba niweke wazi hapa ndugu zangu....kuna bankable business plan ambayo ni kwa ajiri ya kuomba mkopo au plan kwa matumizi au mwongozo wako! Tunashauri ili biashara iwe endelevu ni lazima iwe kwenye maandishi na sio kichwani....fikiria,kwamba biashara unaijua wewe pekeako,yaani mfumo mzima wa biashara na hakuna mwingine ambaye anaijua hata kama ndugu au mfanyakazi wako.....halafu mungu akakupenda zaidi(ukafa au nikifa)...je, hiyo biashara itakuwepo? Sasa basi ni vyema ukaanda huo mchakato ili objectives zako zote zijulikane kwa manufaa ya leo na kesho.....kuiandika sio rahisi...hiyo ni kweli,but jaribu kuwa na idea ya namna gani unataka biashara yako iwe!
JOSEPHAT.P Come on... Mkuu! Siyo kweli kwamba business endelevu lazima iwe kwenye maandishi. Business endelevu ni ile inayo respond na mazingira ya nje ya kibiashara. Business Plan iko kwenye mfumo mgando/tuli wakati biashara inatakiwa iwe dynamic muda wote sababu mazingira ya nje yanabadilika kila wakati. Mwongozo wa biashara yako unaweza ku-share na wenzako na ndugu nzako lakini siyo lazima iwe kwenye maandishi.
Ningependa kurudia ni upotevu wa muda na nguvu ambazo zingelekezwa kwenye uzalishaji.
Kumbuka kuwa external environment ndiyo zinazo dictate internal environment ya business. Hivyo malengo (objectives) uliyoyapanga sasa yanaweza yasitimilike kwenye muda muafaka sababu na mazingira ya nje. Je utaenda kubadili business plan yako? Na kama hivyo ni mara ngapi utakuwa unaibadilisha hiyo business plan?
Kumbuka watu hawa ideas na maono tofauti kwenye biashara. Ina maana kwamba iwapo director wa kampuni ya yeyote ya biashara akibadilishwa, unataka kuniambia mashirika huwa yanakuwa na business plan sehemu kwamba kila director mpya akija lazima aisome?
Ila usichanganye Business Plan na Business Planning