Mkuu namba haipatikani, chek me for some business issues!Wadau,
Wale ambao tunahangaika na biashara na harakati za kujikwamua kwa kufanya biashara au shughuli zetu kitaalam, now it is a time.
Kwa wanaohitaji vitu vifuatavyo:
a. Business Plan - Tunaaandika business plan nzuri sana za aina mbalimbali bei inategemeana na aina ila inaazia Tsh 150,000/=
b. Business/Service Proposal - Kuna unahitaji kufanya biashara na mtu/kampuni na unahitaji kumpa ' proposal' ya biashara yako iliyoandikwa kitaalam bei Tsh 200,000/-
c. Memorandum & Article of Association - Tunakutengenezea hii kwa ajili ya kufungua kampuni bei ni kuanzia Tsh 200,000/= tunaweza kumaliza na huduma nyingine zoote za company registration
d. NGO Documentation, - Tunatengeza documents za Ngo kama vile katiba, HR Manual, na registration support bei inaanzia Tsh 200,000/=
Karibuni nyote, bei zetu ndogo ni kwa kuwa tunataka kusapoti moyo wa ujasiriamali haswa haswa kwa vijana.
Mawasiliano,
emicoltd80@gmail.com, +255 754 237973
Loh hongera sana mkuu, fanya endelea na moyo wa kusaidia vijana. Tuhitaji kusajili NGO ya vijana, naomba utupe kwanza ushauri na utengenezaji wa documents zote zinazohitajika. Big up sana.
Habari wana Jf.
Nimejaribu kwa kadri ya uwezo wangu kuandaa wazo la biashara (business plan) ila nahisi kuwa ninakosea.
Tafadhari wanataaluma nisaidie hata zile general principles ili niandike andiko hili.
Tayari ninawazo, kuliweka katika maandishi imekuwa tatizo.
Nisaidieni bila dhihaka.
Pitia hii link: Free Business Courses - My Own BusinessHabari wana Jf.
Nimejaribu kwa kadri ya uwezo wangu kuandaa wazo la biashara (business plan) ila nahisi kuwa ninakosea.
Tafadhari wanataaluma nisaidie hata zile general principles ili niandike andiko hili.
Tayari ninawazo, kuliweka katika maandishi imekuwa tatizo.
Nisaidieni bila dhihaka.
Pitia hii link: Free Business Courses - My Own Business
Anza kwa kuisoma kwa undani hiyo website na uone sehemu ambazo unahisi zitakuwa na msaada kwako. Ukiwa na tatizo lolote la ziada kuhusu business plan unaweza niandikia kwa email; faizafoxy@yahooo.com
oyaa, FaizaFoxy, mbona unataka kuaribu mchongo wa hela aise.... Au kuna kimtego umeeka hapo kwenye neno FREE!
Hakuna mchongo, najaribu kumpa support kijana wetu, akipitia kwangu nimfanyie business plan hatoweza kuzimudu gharama zangu, minimum huwa nna charge US$ 5,000/= + VAT as my basic fees na gharama (expenses) zingine zote analipia kama zilivyo.
Hee?! FaizaFoxy, iyo business plan ya kwako itakuwa ya Barrick Gold nahisi; huyu ni wa business plan za laki 300,000. Ukimpatia bure na sisi wa business plan za laki tatu tukale wapi sasa...
Pitia hii link: Free Business Courses - My Own Business
Anza kwa kuisoma kwa undani hiyo website na uone sehemu ambazo unahisi zitakuwa na msaada kwako. Ukiwa na tatizo lolote la ziada kuhusu business plan unaweza niandikia kwa email; faizafoxy@yahooo.com
Nini sasa faizafoxy! tukale wapi sie? noma kweli mtu wangu umeharibu mchongo kabisa!
Mkuu hiyo shuhuli uwaga ina-price tag. Sasa hapo sijaelewa vizuri kama upo tayari kulipia hiyo plan au unataka tu msaada kama ile misaada tunatoa JF Doctor na MMU. Em fafanua kidogo hapo